Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9594

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia  wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.

PG4A9553

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA UFUGAJI NYUKI JIJINI ARUSHA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa jamii ya Wadzabe kutoka wilayani Karatu,mkoa wa Arusha leo wakati wa Kongamano la siku tatu la Wadau wa Ufugaji Nyuki barani Afrika na Mazao ya Asali linalofanyika jijini Arusha. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mazao yanayotokana na ufugaji wa Nyuki kwenye banda la Wajasiriamali kutoka wilayani Kibondo mkoa wa Kigoma. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu leo wakati ...

 

10 years ago

Michuzi

Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika kufanyika Jijini Arusha

 Kaimu Mkurugenzi wa Wizara ya Maliasili na Utalii (Kitengo cha Misitu na Nyuki),Bi. Gladnes Mkamba akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu uwepo wa Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika linalotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Novemba 11 - 16,2014 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC),jijini Arusha.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Misitu kutoka Wakala wa Misitu Tanzania,Bw. Zawadi Mbwambo.Picha na Othman Michuzi.Kaimu Mkurugenzi Mwandamizi wa Wizara ya Maliasili...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA KONGAMANO LA WATAFITI WA UFUGAJI NYUKI BARANI AFRIKA

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa kongamano la watafiti na wanasayansi wa sekta ya ufugaji nyuki Barani Afrika linalotarajiwa kufanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 11 hadi 16 Novemba mwaka huu.
Kongamano hilo linatajiwa kuhudhuriwa na washiriki 550 ambapo kati yao Watanzaniani 250 na wageni kutoka nje ya nchi wanatarajia kuwa 300. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Jumanne (Septemba 16, 2014), Jijini Dar esSaalaam, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania katika Wizara ya ...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Nyalandu azindua tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014

 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akijisajili kushirikia kwenye tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014, kama ishara ya kuzindua tovuti hiyo, shughuli iliyofanyika  kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maimuna Tarishi na Msemaji wa Wizara Nurdin Chamuya.
 Baadhi ya washiriki wa uzinduzi huo Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizungumza na hadhiri wakati...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma

IMGS9249

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu  siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau waliohudhuria kongamano la Nyuki mjini Arusha, watembelea shamba la darasa la Nyuki wilayani Ikungi

DSC02197
Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Nyuki Gladness Mkanda,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mahambe wilaya ya Ikungi muda mfupi baada ya kuongoza wadau wa nyuki kutoka sehemu mbalimbali duniani,kutembelea shamba darasa la ufugaji bora wa nyuki linalomilikiwa na shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI).Mkamba alitoa wito kwa wananchi kujiunga katika vikundi vya ufugaji Nyuki ili waweze kujikomboa kiuchumi.

DSC02184

Meneja wa shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI), Jonathani Njau,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua kongamano la Takwimu

PG4A0616

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Kongamano la  Takwimu barani Afrika baada ya kufungua mkutano wa kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es salaam.  Kushoto kwake  ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Dr. Albina Chuwa,  kulia ni Irena Krizman kutoka Slovenia na wapili kulia ni Pali Lehohla kutoka Afrika ya kusini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0634

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la Uwekezaji Mbeya

PG4A8000

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kongamano la uwekezaji  la Nyanda za Juu kusini  kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya August 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8077

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro  (kushoto) na Mkuu wa WIlaya ya Wanging’ombe,, Esterina Kilasi  kutoka kwenye ukumbi  wa Mkapa jijini Mbeya  baada ya kufungua Kongamano  la Uwekezaji la Kanda ya Nyanda za Juu Kusini August 1, 2014. (Picha na  Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua kongamano la Lions Club

PG4A1957

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam  Me 9, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1960

 Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam.

PG4A1985

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club  kwenye hoteli ya White Sands jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani