Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA KUWA MWENYEJI WA KONGAMANO LA WATAFITI WA UFUGAJI NYUKI BARANI AFRIKA

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa kongamano la watafiti na wanasayansi wa sekta ya ufugaji nyuki Barani Afrika linalotarajiwa kufanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 11 hadi 16 Novemba mwaka huu.
Kongamano hilo linatajiwa kuhudhuriwa na washiriki 550 ambapo kati yao Watanzaniani 250 na wageni kutoka nje ya nchi wanatarajia kuwa 300. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Jumanne (Septemba 16, 2014), Jijini Dar esSaalaam, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania katika Wizara ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika kufanyika Jijini Arusha

 Kaimu Mkurugenzi wa Wizara ya Maliasili na Utalii (Kitengo cha Misitu na Nyuki),Bi. Gladnes Mkamba akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu uwepo wa Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika linalotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Novemba 11 - 16,2014 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC),jijini Arusha.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Misitu kutoka Wakala wa Misitu Tanzania,Bw. Zawadi Mbwambo.Picha na Othman Michuzi.Kaimu Mkurugenzi Mwandamizi wa Wizara ya Maliasili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9594

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia  wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.

PG4A9553

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Nyalandu azindua tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014

 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akijisajili kushirikia kwenye tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014, kama ishara ya kuzindua tovuti hiyo, shughuli iliyofanyika  kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maimuna Tarishi na Msemaji wa Wizara Nurdin Chamuya.
 Baadhi ya washiriki wa uzinduzi huo Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizungumza na hadhiri wakati...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA UFUGAJI NYUKI JIJINI ARUSHA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa jamii ya Wadzabe kutoka wilayani Karatu,mkoa wa Arusha leo wakati wa Kongamano la siku tatu la Wadau wa Ufugaji Nyuki barani Afrika na Mazao ya Asali linalofanyika jijini Arusha. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mazao yanayotokana na ufugaji wa Nyuki kwenye banda la Wajasiriamali kutoka wilayani Kibondo mkoa wa Kigoma. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu leo wakati ...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA (AATO)

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana (Kulia)akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa AATO unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Dkt. James Diu.Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA IMEKUA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA(AATO)‏

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana akisalimiana na Rais wa  Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba  wakati wa  mkutano mkuu wa kwanza wa AATO  unaofanyika Zanzibar   kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi  Mamlaka ya...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA

 Waziri wa Nishati  na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa mkutano wa Mawaziri wanaohusika na  masuala ya   Nishati ambapo aliwatangazia wajumbe hao kwamba Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa  Bara la Afrika  kuhusu  Nishati Endelevu katika muda utaopangwa na Umoja wa Mataifa.  Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa siku tatu wa Nishati Endelevu kwa Wote ( SE4ALL)  ulioandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.  Eng. Yahya  Samamba Katibu wa Waziri na  Eng. Styden...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji wa nchi 5 za Afrika Mashariki

RC -1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akitoa taarifa ya mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na wakuu wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia  Machi 25 hadi 26 mwaka huu.

Na Aron Msigwa –MAELEZO

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na Marais wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia  Machi 25 hadi 26 mwaka huu. 

Akitoa taarifa ya mkutano huo Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani