Pinda afungua Kongamano la Uwekezaji Mbeya
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kongamano la uwekezaji la Nyanda za Juu kusini kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya August 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kushoto) na Mkuu wa WIlaya ya Wanging’ombe,, Esterina Kilasi kutoka kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya baada ya kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Nyanda za Juu Kusini August 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Aug
UCHUMI: Pinda kuzindua kongamano la Uwekezaji
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Pinda afungua kongamano la Takwimu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Kongamano la Takwimu barani Afrika baada ya kufungua mkutano wa kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Dr. Albina Chuwa, kulia ni Irena Krizman kutoka Slovenia na wapili kulia ni Pali Lehohla kutoka Afrika ya kusini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la uwekezaji ukanda wa ziwa Tanganyika, mjini Kigoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa Tanganyika, lililofanyika jana Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini Kigoma. (Picha na OMR).
Mwakilishi wa Umoja wa wafanyabishara wa Burundi, akizungumza.
Waziri wa Nchi- Uwekezaji na Uwezeshaji, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais Dkt. Bilal ili kufungua Kongamano hilo.
Sehemu ya...
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA,JIJINI MWANZA LEO
10 years ago
Dewji Blog09 May
Pinda afungua kongamano la Lions Club
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Me 9, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini...
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA, MJINI KIGOMA LEO.
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA TAKWIMU
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Kongamano la Takwimu barani Afrika baada ya kufungua mkutano wa kwenye Hoteli ya Firaffe Ocean View jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Dr. Albina Chuwa, kulia ni Irena Krizman kutoka Slovenia na wapili kulia ni Pali Lehohla kutoka Afrika ya kusini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA LIONS CLUB