Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHUMI: Pinda kuzindua kongamano la Uwekezaji

>Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo atafungua kongamano la Uwekezaji kwa Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Mkapa jijini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la Uwekezaji Mbeya

PG4A8000

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kongamano la uwekezaji  la Nyanda za Juu kusini  kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya August 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8077

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro  (kushoto) na Mkuu wa WIlaya ya Wanging’ombe,, Esterina Kilasi  kutoka kwenye ukumbi  wa Mkapa jijini Mbeya  baada ya kufungua Kongamano  la Uwekezaji la Kanda ya Nyanda za Juu Kusini August 1, 2014. (Picha na  Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini kuzindua kongamano la amani Mwanza

Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani, Askofu Chalres SekelwaVIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini jijini hapa wanatarajiwa kuzindua Kongamano la Amani la siku moja linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Furahisha vilivyopo jijini hapa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPSF, TMS Consultants waandaa kongamano la uwekezaji

TAASISI ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), wakishirikiana na Kampuni ya Kukuza Mitaji ya (TMS Consultants) imewaomba wadau wa maendeleo kushiriki katika kongamano la kimataifa la siku tatu kuhusu uwekezaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

JK KUZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas GamaNa Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini..
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro ambapo miongoni mwa shughuli anazotazamiwa kufanya ni pamoja nakufungua jengo la kitega uchumi la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii(NSSF).
Mbali na ufunguzi huo Rais Kikwete pia anatarajia kufungua jengo la Upasuaji na kuweka jiwe la msingi katika jengo la wodi ya...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI KUITISHA KONGAMANO LA UWEKEZAJI WA BISHARA NDOGO NA ZA KATI

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (Maelezo),  Zamaradi  Kawawa  akimtambulisha (Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Diaspora, Rosemary Jairo, (Kulia). Bi. Jairo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza. SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kwa kushirikiana na  Kituo cha Uwekezaji cha...

 

11 years ago

Michuzi

Matunda ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa yaanza kuonekana

Mara baada ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa, mwekezaji Mama Wang Shen Hong (ama Anna - kama anavyojulikana zaidi jijini Mwanza) aliomba kukutana na maofisa waandamizi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na kuzungumzia fursa lukuki zilizoainishwa kwenye Kongamano hilo. Pichani ni Mwekezaji huyo akiongea na Meneja wa Uhamasishaji Uwekezaji kutoka TIC Makao Makuu,Bwana John Mathew Mnali (kulia) akiwa na Meneja wa Kanda ya Ziwa,Bwana Fanuel Yona Lukwaro. 
Mwekezaji huyo amevutiwa zaidi...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya kongamano la uwekezaji na biashara linaloanza kesho dar es salaam

Mkurugenzi wa Huduma wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Bi. Nakuala Senzia (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na kongamano la siku mbili la uwekezaji na biashara linalotarajiwa kuanza kesho jijini Dar es Salaam.  Wengine katika picha ni Meneja Mawasiliano wa TIC Bi. Pendo Gondwe, (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Paul Omara (wa tatu kushoto), Afisa Habari Mkuu wa benki hiyo, Bi. Naomi Vincent na Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAMALIZIKA LEO JIJINI MWANZA

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh. Christopha Chiza akitoa hotuba yake wakati wa kufunga Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,lililomalizika leo kwenye hoteli ya Malaika,jijini Mwanza.Mh. Chiza amelifunga Kongamano hilo kwa niaba ya Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda ambaye hakuweza kuhudhulia kutokana na kubanwa na shughuli nyingi za Kitaifa.Kongamano hilo ambalo limefanyika kwa siku tatu mfululizo,liliweza kujadili mambo mengi kuhusiana na fursa ya kuwekeza katika Kanda hiyo ya Ziwa.

 

11 years ago

Michuzi

Maandalizi ya Kongamano la Uwekezaji katika Maeneo ya Kanda ya Ziwa yanaendelea

Maandalizi ya Kongamano la siku tatu la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,linalotarajiwa kufunguliwa kesho na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Balal,katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza,yanaendelea vyema kama ilivyopanga.Kongamano hilo ambalo ni la Nne Kitaifa,linaratibiwa na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) ambapo wawekezaji mbali mbali watakutana na kujadiliana maswala mmbali mbali yahusuyo Uwekezaji katika sekta mbali mbali hapa nchini. Sehemu ya Mahema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani