JK KUZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas GamaNa Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini..
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro ambapo miongoni mwa shughuli anazotazamiwa kufanya ni pamoja nakufungua jengo la kitega uchumi la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii(NSSF).
Mbali na ufunguzi huo Rais Kikwete pia anatarajia kufungua jengo la Upasuaji na kuweka jiwe la msingi katika jengo la wodi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE KUZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF KILIMANJARO

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini..RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro ambapo miongoni mwa shughuli anazotazamiwa kufanya ni pamoja na
kufungua jengo la kitega uchumi la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi...
10 years ago
Michuzi.jpg)
JK afungua jengo la NSSF la kitega uchumi Moshi
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPL
JK AFUNGUA JENGO LA NSSF LA KITEGA UCHUMI MOSHI
10 years ago
VijimamboRais Kikwete afungua jengo la NSSF la kitega uchumi Moshi
10 years ago
VijimamboRais Kikwete azindua jengo la Kitega Uchumi la NSSF Moshi
5 years ago
Michuzi
NHC YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI JENGO LA KITEGA UCHUMI MUTUKULA


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwasili katika Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilipo mpakani mwa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera kwa...
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ALIPOFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA HOTELI YA PPF MWANZA
5 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA OFISI NA UKUMBI LA KITEGA UCHUMI WA CCM MKOA WA PWANI

11 years ago
Mwananchi20 Oct
Sugu ataka michezo iwe kitega uchumi