RAIS KIKWETE ALIPOFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA HOTELI YA PPF MWANZA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya ufunguzi rasmi wa jengo la hoteli ya Gold Crest linalomilikiwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF katika hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika hivi karibuni jijini Mwanza.Wengine pichani toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Evarist Ndikilo,Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa PPF,ndg. Ramadhan Kijjah,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Adam Malima,Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PPF,William Erio pamoja na Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufuli.Rais Dkt....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRais Kikwete afungua jengo la NSSF la kitega uchumi Moshi
10 years ago
VijimamboRais Kikwete azindua jengo la Kitega Uchumi la NSSF Moshi
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE KUZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF KILIMANJARO
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini..RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro ambapo miongoni mwa shughuli anazotazamiwa kufanya ni pamoja na
kufungua jengo la kitega uchumi la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi...
10 years ago
MichuziRais Kikwete afungua jengo la PPF Mwanza
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA OFISI NA UKUMBI LA KITEGA UCHUMI WA CCM MKOA WA PWANI
Mhandisi wa ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani Suleiman Nassor akimuelezea Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuhusu Jengo hilo litakavyokuwa wakati Makamu wa...
10 years ago
Dewji Blog14 Apr
10 years ago
MichuziJK KUZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF KILIMANJARO
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro ambapo miongoni mwa shughuli anazotazamiwa kufanya ni pamoja nakufungua jengo la kitega uchumi la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii(NSSF).
Mbali na ufunguzi huo Rais Kikwete pia anatarajia kufungua jengo la Upasuaji na kuweka jiwe la msingi katika jengo la wodi ya...
10 years ago
MichuziJK afungua jengo la NSSF la kitega uchumi Moshi
10 years ago
GPLJK AFUNGUA JENGO LA NSSF LA KITEGA UCHUMI MOSHI