Chama cha ufugaji nyuki kuzinduliwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, leo anatarajiwa kuzindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji wa Nyuki Tanzania (TABEDO). Uzinduzi wa TABEDO unafanyika kutokana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kufanyia kazi agizo la Waziri Mkuu Pinda la kuanzishwa kwa umoja wa wafugaji nyuki nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Pinda azindua Chama cha Wafugaji Nyuki
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Tanzania kwenye hoteli ya Morena mjini Dodoma Oktoba 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Chama cha ushirika SYCCOS chawapiga msasa wafugaji nyuki wa Mkoa wa Singida
Pichani ni Rais wa SYCCOS, Philemon Kiemi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) juu ya semina ya siku mbili ya wadau wa nyuki zaidi ya 500 wa Mkoa wa Singida, Semina iliyoanza jana na kutarajiwa kumalizika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Tatala Beach hotel mjini hapa.
Na Nathaniel Limu, Singida
CHAMA cha Ushirika na Ujasirimali cha Vijana waliomaliza vyuo vikuu (SYCCOS) mkoani Singida kinaendesha semina ya siku mbili kwa wadau zaidi ya 500 wanaojishughulisha na...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Faida za kiuchumi za ufugaji nyuki
UFUGAJI nyuki nchini hufanyika kwenye misitu na mapori ya akiba na asilimia ndogo hufanyika katika maeneo ya kilimo. Wananchi waishio jirani na maeneo ya hifadhi za misitu na baadhi ya...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Ufugaji nyuki umewakomboa wasomi kiuchumi
BAADA ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu, safari ya kuelekea kwenye jamii inaanza na kuanza maisha ikiwa ni pamoja na kukabiliana na changamoto zake ikiwemo suala la ajira ambalo ni...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Sekta ufugaji nyuki kuzalisha zaidi
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...
11 years ago
Habarileo19 Apr
Balozi aelezwa nia ya kuanzisha mitaala ya ufugaji nyuki
CHUO cha Kilimo Mubondo wilaya ya Kasulu, Kigoma kinatarajia kuanzisha mitaala ya masomo ya ufugaji nyuki kwa wanafunzi wa chuo hicho.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5n4pRCwshyI/VFNWwl5FxNI/AAAAAAAGuXE/-LEK8QbcdyY/s72-c/MMGM0022.jpg)
Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika kufanyika Jijini Arusha
![](http://2.bp.blogspot.com/-5n4pRCwshyI/VFNWwl5FxNI/AAAAAAAGuXE/-LEK8QbcdyY/s1600/MMGM0022.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-a8ZPkotytn0/VFNWx3mNEDI/AAAAAAAGuXM/Do10bvhhkD8/s1600/MMGM0016.jpg)