Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda ataka uwekezaji zaidi ufugaji wa asali

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametaka kuongezwa kwa uwekezaji katika eneo la uzalishaji asali ili sekta hiyo itoe mchango unaostahili katika uchumi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Nchini (TABEDO) juzi, Pinda alisema sekta hiyo ikipewa kipaumbele zaidi uzalishaji utaongezeka na hivyo kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kutokana na Tanzania kuwa na maeneo mengi yanayofaa kwa ajili ya ufugaji nyuki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka ufugaji wa kibiashara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka wafugaji nchini kufuga kibiashara ili kujikwamua na umaskini. Hayo aliyasema jijini hapa jana wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wadau wa mifugo, uliyoandaliwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka watafiti wa ndani watumiwe zaidi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametoa changamoto kwa taasisi mbalimbali hasa za serikali nchini kuwaamini na kuwatumia watafiti wa ndani badala ya kukimbilia kutumia wa nje ambao amesema mara nyingi huwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9594

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia  wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.

PG4A9553

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA WAJASIRIMALI WA ASALI KATIKA VIWANJA VYA M.J NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,akipata maelekezo ya asali alipotembelea banda la asali katika maonesho ya 39 yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.Wajasiriamali wa bidhaa ya asali  ndani ya maonesho ya 39 yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Sekta ufugaji nyuki kuzalisha zaidi

Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) ameanza utekekezaji wa mikakati ya kuhakisha kuwa sekta ya ufugaji nyuki inatumika kuzalisha mazao mengine ya kibiashara badala ya asali na nta pekee kama ilivyo kwa sasa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya wananchi 3,000 Wilaya ya Ikungi Singida kunufaika na soko la asali chini ya mradi wa FU-DI kwa ufadhili wa UNDP

RC

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk Parseko Kone akizungumza na wanavikundi 49 vya ufugaji wa Nyuki katika Wilaya ya Ikungi wakati wa uzinduzi wa mradi wa FU-DI na ugawaji wa mizinga ya Nyuki pamoja na vifaa.

Na Hillary Shoo, IKUNGI.

ZAIDI ya wananchi 3,000 watanufaika na soko la asali kupitia taasisi ya Kijamii  ya fursa za kimaendeleo ‘Future Development Initiatives’ (Fu-DI) Mkoani Singida, kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

Wakizungumza wakati wa hafla fupi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma

IMGS9249

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu  siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

Michuzi

ULEGA AWAHAKIKISHIA WAFUGAJI WA SAMAKI KUENDELEA KUBORESHA ZAIDI MAZINGIRA BORA YA UFUGAJI

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza katika Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali,Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Mkoa wa Shinyanga.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog 
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia wafugaji wa samaki nchini kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya kuwawezesha wafugaji kufuga samaki.  Mhe. Ulega ameyasema hayo Februari 26,2020 kwenye Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani