Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA WAJASIRIMALI WA ASALI KATIKA VIWANJA VYA M.J NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,akipata maelekezo ya asali alipotembelea banda la asali katika maonesho ya 39 yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.Wajasiriamali wa bidhaa ya asali  ndani ya maonesho ya 39 yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA LIONS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam  Me 9, 2015. Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea   na viongozi wa Lions Club  baada ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

 Wananchi wakiangalia kifaa kilichotengenezwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili kusoma kiwango cha maji kwa  bei  uliyoweka na fedha yake unatumbukiza kisha maji yanaanza kutoka walipotembelea maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Madhari ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa katika Harakati za kutembelea mabanda  ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AANDAA FUTARI NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya Futari jana Jumamosi Julai 26, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wa pili kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova…
...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya Mabadiliko ya TABIANCHI kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam August 28, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohamed (katikati) na Waziri wa Mazingira wa Msumbiji, Ana Paulo Chichava baada ya kufungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN AWAAPISHA JUMLA YA MAWAKILI 412 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akiwa katika meza  kuu pamoja na Wahe. Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania katika Sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,  katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Sehemu  ya Mawakili wapya walioapishwa  na Mhe. Jaji Mkuu ambaye  ameapisha jumla ya Mawakili 412 na kuongeza idadi ya jumla ya Mawakili 4874. Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana . Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA LIONS CLUBS


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwashukuru viongozi wa Club ya Lions Clubs International baada ya kutunkiwa Medali ya juu ya Uongozi ya Club hiyo na Gavana wa Lions Clubs...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani