Ukosefu Soko La Vitunguu Swaumu lasababisha Debe mbili kuthamanishwa kwa debe moja
Ukosefu wa soko la uhakika la Vitunguu Swaumu umesababisha wakulima wa zao hilo kuingia hasara baada ya wanunuzi kuwataka wauze debe mbili kwa malipo ya debe moja.
Wakulima wa Vitunguu Swaumu katika eneo la Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa wamesema changamoto hiyo inawakwamisha kutokana na kilimo hicho kutokuwa mkombozi kwao.
Vitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo ilianza kutumika duniani kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, na nchi za awali kabisa kulitumia zao hili zinatajwa kuwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Mar
Dk Shein apigia debe serikali mbili
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya na wakati wa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar, mamlaka za nchi hizo zilikubaliana kuwepo kwa serikali mbili pekee.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Cheka azipigia debe ndondi kwa serikali
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka ‘SMG’, ameitaka serikali kuusaidia mchezo huo kwa maslahi ya vijana wenye vipaji na taifa kwa ujumla. Cheka alisema ngumi ni mchezo unaoitangaza...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0DYdyWdOo99XH49s8gSxFq*6HpoXrmYEwVw97rgn2*1X7WAfMx*TGTgpfR7Ak8Mlwyq33kALkPspCCmZ-YVXKcE/Mrisho1.jpg?width=650)
MRISHO MPOTO ATAFUTA NAULI KWA KUPIGA DEBE KWENYE DALADALA - 4
11 years ago
CloudsFM07 Aug
MPIGA DEBE IRINGA AUWAWA KWA KUCHOMWA KISU STAND NJE YA KITUO CHA POLISI
DENI la Sh 2,000 limetosha kumaliza uhai wa mpiga debe maarufu wa stendi ya mabasi yaendeayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga baada ya kuchomwa kisu mara mbili katika eneo la mgongoni na kifuani.
Tukio hilo la kinyama limetokea leo majira ya saa 6.55 mchana baada ya Yengayenga na mtuhumiwa wa mauaji yake aliyekuwa akidai kiasi hicho cha fedha kurushiana maneno makali na kisha kupigana.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-SeY8l4L54Mk/VOY5DIVxkII/AAAAAAADZ4w/xv_iGXKwP7E/s72-c/20150219_153019.jpg)
TAARIFA KWA UMMA. SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM-SO) YAKANUSHA KUMPIGIA DEBE LOWASA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-SeY8l4L54Mk/VOY5DIVxkII/AAAAAAADZ4w/xv_iGXKwP7E/s1600/20150219_153019.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9Dpcenwt5Ug/VXE-eTVTs_I/AAAAAAAAUgU/QpvHtQqxbuE/s72-c/hamjamboo1.jpg)
DKT. SLAA, AENDELEA NA ZIARA YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, APIGA DEBE WANANCHI KUJIANDIKISHA TAYARI KWA UCHAGUZI MKUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-9Dpcenwt5Ug/VXE-eTVTs_I/AAAAAAAAUgU/QpvHtQqxbuE/s640/hamjamboo1.jpg)
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Magufuli ampigia debe Mrema
*Asema akishindwa atamtafutia kazi nyingine
NA BAKARI KIMWANGA, VUNJO
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hawataki kukichagua chama hicho katika nafasi ya ubunge, ni bora wamchague mgombea wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo jana, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mji mdogo wa Himo.
Alisema pamoja na kutaka Mrema achaguliwe, anahitaji zaidi...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Makamba ajipigia debe la urais
10 years ago
Mwananchi07 Apr
DC ampigia debe la urais Wasira