Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka azipigia debe ndondi kwa serikali

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka ‘SMG’, ameitaka serikali kuusaidia mchezo huo kwa maslahi ya vijana wenye vipaji na taifa kwa ujumla. Cheka alisema ngumi ni mchezo unaoitangaza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Ukosefu Soko La Vitunguu Swaumu lasababisha Debe mbili kuthamanishwa kwa debe moja

Ukosefu wa soko la uhakika la Vitunguu Swaumu umesababisha wakulima wa zao hilo kuingia hasara baada ya wanunuzi kuwataka wauze debe mbili kwa malipo ya debe moja.

Wakulima wa Vitunguu Swaumu katika eneo la Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa wamesema changamoto hiyo inawakwamisha kutokana na kilimo hicho kutokuwa mkombozi kwao.

Vitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo  ilianza kutumika duniani kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita,  na nchi za awali kabisa kulitumia  zao hili zinatajwa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA. SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM-SO) YAKANUSHA KUMPIGIA DEBE LOWASA.

Serikali ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitiamsemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, nduguClinton Boniface inakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la NIPASHEtoleo namba 0578395 la tarehe 19/02/2015, lenye kichwa cha habari“WANAFUNZI WA IFM WAMTAKA LOWASA URAIS” na kwamba habari hizohazijatolewa na uongozi wa IFMSO, wala hakuna mkutano wowoteuliofanyika katika eneo la chuo cha usimamizi wa fedha kati yawaandishi wa habari na uongozi wa serikali ya...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Shein apigia debe serikali mbili

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya na wakati wa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar, mamlaka za nchi hizo zilikubaliana kuwepo kwa serikali mbili pekee.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy MwalimuSERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya wanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM-SO) yakanusha kumpigia debe Lowassa

082f060

Rais wa Serikali ya Wanafunzi IFM-SO, Clinton Boniface.

Serikali ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitia msemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, ndugu Clinton Boniface inakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la NIPASHE toleo namba 0578395 la tarehe 19/02/2015, lenye kichwa cha habari “WANAFUNZI WA IFM WAMTAKA LOWASA URAIS” na kwamba habari hizo hazijatolewa na uongozi wa IFMSO, wala hakuna mkutano wowote uliofanyika katika eneo la chuo cha usimamizi...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM-SO) YAKANUSHA KUMPIGIA DEBE LOWASA.

Serikali ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitia
msemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, ndugu
Clinton Boniface inakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la NIPASHE
toleo namba 0578395 la tarehe 19/02/2015, lenye kichwa cha habari
“WANAFUNZI WA IFM WAMTAKA LOWASA URAIS” na kwamba habari hizo
hazijatolewa na uongozi wa IFMSO, wala hakuna mkutano wowote
uliofanyika katika eneo la chuo cha usimamizi wa fedha kati ya
waandishi wa habari na uongozi wa serikali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafunzo ya ndondi kwa vitendo kuanza leo Dar

SHIRIKISHO la Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), leo linaanza kutoa mafunzo ya mchezo huo kwa vitendo kwa waamuzi na mabondia kwa lengo la kuuboresha. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa TPBC,...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATAFUTA NAULI KWA KUPIGA DEBE KWENYE DALADALA - 4

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipotua Dar na mama yake, akaanzishwa Shule ya Msingi, Ilala Boma na kipindi hicho walikuwa maskini wa kutupwa kwani maisha yao yalikuwa ya kwenda kuokota vifuu, kuni na kuviuza. Songa nayo mwenyewe... “Mazingira ya nyumba yetu pale Ilala yalikuwa ni kama eneo la kumuelekeza mtu kutokana na jumba bovu nililokuwa nikiishi na mama.”Duh!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani