Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein apigia debe serikali mbili

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya na wakati wa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar, mamlaka za nchi hizo zilikubaliana kuwepo kwa serikali mbili pekee.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli apigia debe makandarasi wazawa

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameutaka uongozi wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhakikisha wanatumia makandarasi wa ndani katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanywa na wakala huo. Akizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tarishi apigia debe utalii wa ndani

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi, amevipa changamoto vyombo vya habari nchini, kupigia debe utalii wa ndani kama sehemu ya kuongeza pato la taifa na kuimarisha...

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu Soko La Vitunguu Swaumu lasababisha Debe mbili kuthamanishwa kwa debe moja

Ukosefu wa soko la uhakika la Vitunguu Swaumu umesababisha wakulima wa zao hilo kuingia hasara baada ya wanunuzi kuwataka wauze debe mbili kwa malipo ya debe moja.

Wakulima wa Vitunguu Swaumu katika eneo la Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa wamesema changamoto hiyo inawakwamisha kutokana na kilimo hicho kutokuwa mkombozi kwao.

Vitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo  ilianza kutumika duniani kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita,  na nchi za awali kabisa kulitumia  zao hili zinatajwa kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Shein:Serikali mbili muafaka

>Makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, DK Ali Mohamed Shein amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauwezi kuvunjwa kwa maneno na  kuongeza kuwa mfumo wa Muungano wa serikali mbili ndiyo mwafaka katika kuimarisha ulinzi na usalama wa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Shein ‘agusa’ Serikali mbili

Siku nne baada ya CCM kuweka hadharani msimamo wake juu ya muundo wa Serikali wanayoitaka ndani ya Katiba Mpya, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameibuka na kufichua siri ya mwongozo huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]

 KAMATI mbili kati ya 12 za Bunge Maalum la Katiba zimehitimisha kazi yake katika kujadili sura mbili za rasimu huku zote zikipendekeza muundo wa serikali mbili za Muungano katika Sura ya Kwanza na ile ya Sita badala ya Shirikisho.

 

11 years ago

Habarileo

Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 9 ya Bunge Maalumu la Katiba, William NgelejaWAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cheka azipigia debe ndondi kwa serikali

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka ‘SMG’, ameitaka serikali kuusaidia mchezo huo kwa maslahi ya vijana wenye vipaji na taifa kwa ujumla. Cheka alisema ngumi ni mchezo unaoitangaza...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy MwalimuSERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani