Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein:Serikali mbili muafaka

>Makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, DK Ali Mohamed Shein amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauwezi kuvunjwa kwa maneno na  kuongeza kuwa mfumo wa Muungano wa serikali mbili ndiyo mwafaka katika kuimarisha ulinzi na usalama wa Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Shein ‘agusa’ Serikali mbili

Siku nne baada ya CCM kuweka hadharani msimamo wake juu ya muundo wa Serikali wanayoitaka ndani ya Katiba Mpya, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameibuka na kufichua siri ya mwongozo huo.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Shein apigia debe serikali mbili

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya na wakati wa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar, mamlaka za nchi hizo zilikubaliana kuwepo kwa serikali mbili pekee.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali itafute muafaka wa Wamachinga

TUNAPENDA kulaani kwa nguvu zote vitendo vya matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwabughudhi wafanyabiashara ndogo ndogo mitaani, maarufu kama Wamachinga. Hata hivyo, hatuungi mkono hatua ya wafanyabiashara hao kukiuka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Colombia:Serikali,FARC kupata muafaka

Serikali ya Colombia na Wapiganaji wa FARC wanatarajia kufanya mazungumzo kumaliza mzozo baina yao

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE BOKO HARAM NA SERIKALI ZAFIKIA MUAFAKA

Wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram tarehe 14 Februari mwaka huu. Serikali ya Nigeria na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, wamefikia makubaliano ya usitishaji mapigano na kuachiliwa huru wanafunzi wa kike wanaoshikiliwa na kundi hilo. Hayo yameelezwa na mkuu wa vikosi vya jeshi la Nigeria, Meja Jenerali Alex Sabundu Badeh na Hassan Tukur, Katibu wa ikulu ya rais ya nchi hiyo na mshauri wa karibu...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA WAISHA KWA MUAFAKA WA MADAI YAO KUSHUGHULIKIWA NA SERIKALI


Na Bakari Issa MajeshiMgomo wa Madereva uliodumu  kwa takriban siku moja na ushee, hatimaye umepata muafaka baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (pichani) kufanikiwa kuusuluhisha kwa kusaini makubaliano na Uongozi wa Chama cha Madereva.Makubaliano hayo yaliitaka Serikali kuboresha  Mikataba kwa Madereva, malipo kwa madereva hao, pamoja na tatizo la ukaguzi wa magari ili kuondoa usumbufu kwa madereva hao, na kuiomba Serikali kufanya ukaguzi huo kwa siku moja tu.Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]

 KAMATI mbili kati ya 12 za Bunge Maalum la Katiba zimehitimisha kazi yake katika kujadili sura mbili za rasimu huku zote zikipendekeza muundo wa serikali mbili za Muungano katika Sura ya Kwanza na ile ya Sita badala ya Shirikisho.

 

11 years ago

Habarileo

Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 9 ya Bunge Maalumu la Katiba, William NgelejaWAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.

 

11 years ago

Mwananchi

Zambi: Serikali mbili ni maagizo ya JK

>Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi amefichua sababu za chama hicho kushikilia msimamo wa muundo wa serikali mbili katika mjadala wa Katiba Mpya, akisema ni “maagizo ya mwenyekiti wa CCM”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani