Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zambi: Serikali mbili ni maagizo ya JK

>Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi amefichua sababu za chama hicho kushikilia msimamo wa muundo wa serikali mbili katika mjadala wa Katiba Mpya, akisema ni “maagizo ya mwenyekiti wa CCM”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]

 KAMATI mbili kati ya 12 za Bunge Maalum la Katiba zimehitimisha kazi yake katika kujadili sura mbili za rasimu huku zote zikipendekeza muundo wa serikali mbili za Muungano katika Sura ya Kwanza na ile ya Sita badala ya Shirikisho.

 

11 years ago

Habarileo

Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 9 ya Bunge Maalumu la Katiba, William NgelejaWAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.

 

9 years ago

Michuzi

Maagizo ya Rais Magufuli kuhusu safari za nje za watendaji wa Serikali yaanza kutekelezwa

Kufuatia maagizo ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa hivi karibuni ya kusitisha safari za nje kwa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imeanza kutekeleza maagizo hayo kwa kutoa maelekezo mahsusi kwa Balozi zake nje.
Wizara imezielekeza Balozi zote zilizopo maeneo mbalimbali duniani kujipanga ili kushiriki kikamilifu katika kuiwakilisha Serikali kwenye mikutano yote ya kimataifa na kikanda...

 

11 years ago

Mwananchi

Zambi ahimiza ushirika

 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi, amewataka wakulima nchini kuanzisha vyama vya ushirika ili waweze kukopesheka kwa urahisi.

 

11 years ago

Habarileo

Warioba: Serikali mbili zinakubalika

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe baada ya kufungua Mkutano wa Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya uliohudhuriwa na viongozi wa dini na siasa Dar es Salaam jana. Waliokaa kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. (Picha na Fadhili Akida).MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano wa serikali mbili unawezekana, ilimradi kuwe na nchi moja.

 

11 years ago

Mwananchi

Shein ‘agusa’ Serikali mbili

Siku nne baada ya CCM kuweka hadharani msimamo wake juu ya muundo wa Serikali wanayoitaka ndani ya Katiba Mpya, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameibuka na kufichua siri ya mwongozo huo.

 

11 years ago

Habarileo

Shibuda -Nataka serikali mbili

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema msimamo wake ni kuwapo kwa Serikali mbili, huku akisisitiza kuwa ilipaswa wajumbe wa bunge hilo wapewe elimu ya ufahamu ya kazi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Serikali mbili lazima

Wakati mjadala mkali ndani ya Bunge Maalumu la Katiba ukitarajiwa kuwa muundo wa Muungano, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza Serikali mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM watofautiana Serikali mbili

Baadhi ya wabunge wa CCM ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamepinga msimamo wa chama hicho unaowataka kutetea muundo wa Serikali mbili katika mijadala ya Bunge hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani