Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba: Serikali mbili zinakubalika

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe baada ya kufungua Mkutano wa Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya uliohudhuriwa na viongozi wa dini na siasa Dar es Salaam jana. Waliokaa kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. (Picha na Fadhili Akida).MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano wa serikali mbili unawezekana, ilimradi kuwe na nchi moja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]

 KAMATI mbili kati ya 12 za Bunge Maalum la Katiba zimehitimisha kazi yake katika kujadili sura mbili za rasimu huku zote zikipendekeza muundo wa serikali mbili za Muungano katika Sura ya Kwanza na ile ya Sita badala ya Shirikisho.

 

11 years ago

Habarileo

Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 9 ya Bunge Maalumu la Katiba, William NgelejaWAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Warioba aitaabisha serikali

MZIMU wa kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji mstaafu, Joseph Warioba umeibukia tena bungeni baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini (CHADEMA) kuhoji kwanini ameondolewa walinzi...

 

11 years ago

Habarileo

Warioba atetea mfumo wa serikali 3

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph WariobaMWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ametetea mfumo wa serikali tatu, ambazo umependekezwa kwenye Rasimu ya Katiba, kuwa utapunguza gharama za uendeshaji wa Serikali ya Muungano kuliko ilivyo sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aishangaa Serikali

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warioba: Serikali tatu si mzigo

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...

 

11 years ago

Habarileo

Bomani amtetea Warioba serikali tatu

JAJI mstaafu, Mark Bomani amemtetea Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kusisitiza kuwa siyo mwanzilishi wa serikali tatu na kwamba amewasilisha mapendekezo yaliyopitishwa na wajumbe wa Tume hiyo. Bomani alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tume ya Warioba yaivua nguo serikali

JANA taifa lilisimama saa nne kwa Watanzania kuelekeza masikio na macho kwenye runinga kusikiliza ufafanuzi wa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, juu ya upotoshaji wa viongozi waandamizi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali imejiaibisha kwa kumdhalilisha Warioba

SERIKALI imejiaibisha kwa kutoa madai dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba. Imemdhalilisha si yeye tu, bali wajumbe wa tume na Rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani