Warioba atetea mfumo wa serikali 3
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ametetea mfumo wa serikali tatu, ambazo umependekezwa kwenye Rasimu ya Katiba, kuwa utapunguza gharama za uendeshaji wa Serikali ya Muungano kuliko ilivyo sasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Jaji Mark Bomani atetea Serikali tatu
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Warioba aitaabisha serikali
MZIMU wa kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji mstaafu, Joseph Warioba umeibukia tena bungeni baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini (CHADEMA) kuhoji kwanini ameondolewa walinzi...
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Jaji Warioba aishangaa Serikali
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Warioba: Serikali tatu si mzigo
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...
11 years ago
Habarileo13 Feb
Warioba: Serikali mbili zinakubalika
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano wa serikali mbili unawezekana, ilimradi kuwe na nchi moja.
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Serikali imejiaibisha kwa kumdhalilisha Warioba
SERIKALI imejiaibisha kwa kutoa madai dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba. Imemdhalilisha si yeye tu, bali wajumbe wa tume na Rais...
11 years ago
Mwananchi15 Jan
‘Warioba chanzo cha Serikali tatu’
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Mwandosya: Alichokosea Warioba ni Serikali tatu tu
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Tume ya Warioba yaivua nguo serikali
JANA taifa lilisimama saa nne kwa Watanzania kuelekeza masikio na macho kwenye runinga kusikiliza ufafanuzi wa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, juu ya upotoshaji wa viongozi waandamizi...