Warioba: Serikali tatu si mzigo
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Mwandosya: Alichokosea Warioba ni Serikali tatu tu
11 years ago
Mwananchi15 Jan
‘Warioba chanzo cha Serikali tatu’
11 years ago
Habarileo24 Jan
Bomani amtetea Warioba serikali tatu
JAJI mstaafu, Mark Bomani amemtetea Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kusisitiza kuwa siyo mwanzilishi wa serikali tatu na kwamba amewasilisha mapendekezo yaliyopitishwa na wajumbe wa Tume hiyo. Bomani alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Warioba: Hata Nyerere angebadili mawazo kuhusu Serikali tatu
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Serikali tatu ‘matakwa ya wananchi’, Warioba aliambia Bunge la #Katiba [VIDEO]
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video)
Zikiwa zimebaki siku chache kufikia uzinduzi wa album yake mpya, Royalty staa wa muziki wa R&B, Chris Brown amerudi kwa mara nyingine wiki hii na ujio wa mzigo wa latest single yake ‘Back to sleep’. Official countdown kuelekea uzinduzi wa album ya saba ya Chris imeanza rasmi huku tukihesabu siku 4 kufikia tarehe 18 December 2015, […]
The post Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video) appeared first on...
10 years ago
Mtanzania16 Apr
Wafugaji, wakulima waibebesha mzigo Serikali
Na Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
JAMII ya wakulima na wafugaji wamedai kutokumalizika kwa migogoro ya ardhi kati ya jamii hizo, inatokana na viongozi wa Serikali kushindwa kutimiza wajibu wao.
Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi wa wakulima kutoka Wilaya ya Kilosa, Airu Mustafa katika kongamano la mwisho la Kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Alisema suluhisho pekee la tatizo hilo, ni kutowapa nafasi watu wanaotaka uongozi katika uchaguzi mkuu...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Wananchi wanapobebeshwa mzigo ulioishinda serikali
MAPEMA mwaka 2009 alipokuwa anahitimisha ziara ya mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako alishuhudia ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alijikwaa ulimi akasema;...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Uhaba wa dawa, vifaa tiba mzigo kwa Serikali