Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba: Hata Nyerere angebadili mawazo kuhusu Serikali tatu

>Kazi ya miezi 20 ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukusanya maoni ya Watanzania na kutoa Rasimu ya Katiba itakayojadiliwa katika Bunge la Katiba na baadaye wananchi kuipigia kura ya maoni ili iwe Katiba imekamilika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali tatu au mbili zipo hata sasa ndani ya Katiba

Reading, Uingereza. Katiba, katiba katiba. Huu ndiyo wimbo ulioko katika midomo ya Watanzania walio wengi. Na ni kati ya kitu ambacho kimeonekana kuwaweka Watanzania pamoja kuliko kitu kingine nilichowahi kusikia. 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warioba: Serikali tatu si mzigo

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Warioba chanzo cha Serikali tatu’

Mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo amesema haafiki mapendekezo yaliyomo katika rasimu ya pili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano yanayopendekeza muundo wa Serikali tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandosya: Alichokosea Warioba ni Serikali tatu tu

Katiba inayopendekezwa tayari imekabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, ikisubiri kupigiwa kura ya maoni mwakani.

 

11 years ago

Habarileo

Bomani amtetea Warioba serikali tatu

JAJI mstaafu, Mark Bomani amemtetea Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kusisitiza kuwa siyo mwanzilishi wa serikali tatu na kwamba amewasilisha mapendekezo yaliyopitishwa na wajumbe wa Tume hiyo. Bomani alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Nyerere alitaka Serikali tatu

Wakati mjadala wa Katiba Mpya hususani muundo wa Muungano ukipamba moto, imebainika kuwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kupendekeza kuanzishwa Serikali ya Tanganyika, kama sharti la kuingia kwenye Shirikisho la Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali tatu ‘matakwa ya wananchi’, Warioba aliambia Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kati ya wananchi 38,000 waliotoa maoni yao kuhusu Muungano, 19,000 walizungumzia suala la muundo.

 

10 years ago

Habarileo

Mangula akumbusha Nyerere alivyokataa Serikali tatu

SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuimwagia sifa Katiba Inayopendekezwa, huku akisema 'Sijui angekuwa na kauli gani kama ingependekeza Serikali Tatu’, Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula amesema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipinga mfumo wa Serikali Tatu tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1961.

 

11 years ago

Michuzi

Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuzo aliyotunukiwa Jaji Warioba

Rais Kikwete akimtunuku Nishani,  Daraja la Kwanza,  ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014. (picha, maelezo: Freddy Maro, IKULU) Rais Kikwete akimtunuku Nishani,  Daraja la Kwanza,  ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014.
Na Magreth Kinabo,  Maelezo  Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka kwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani