Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuzo aliyotunukiwa Jaji Warioba

Rais Kikwete akimtunuku Nishani,  Daraja la Kwanza,  ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014. (picha, maelezo: Freddy Maro, IKULU) Rais Kikwete akimtunuku Nishani,  Daraja la Kwanza,  ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014.
Na Magreth Kinabo,  Maelezo  Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka kwa kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALICHOSEMA MZEE KINGUNGE KUHUSU JAJI WARIOBA NI SAHIHI

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisisitiza jambo. Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa kunipa uzima siku hii ya leo na nikaweza kuandika haya unayoyasoma. Wiki iliyopita nilimsikiliza kwa makini sana mkongwe wa siasa nchini, mzee Kingunge Ngombale Mwiru alipokuwa akitoa mchango wake katika Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Jaji Warioba. Kabla ya kusimama na kuongea, mzee Kingunge nilikuwa najiuliza ni nani wa kutuliza...

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba: Msimamo wangu kuhusu Katiba palepale

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema msimamo wake kuhusu kuheshimiwa kwa maoni ya wananchi katika mchakato wa kupata Katiba Mpya upo palepale, kwamba ni lazima Taifa lisikilize wananchi wanataka nini ili kufikia mwafaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aishangaa Serikali

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Siku ya Uhuru

 Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu namna ya kuadhimisha siku ya Uhuru ya tarehe 9/12/2015 na kusema kuwa siku hiyo sio siku ya mapumziko.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3

Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.

Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo operation”, ikiwa na maana kuwa wanajeshi wastaafu wanadai kulipwa dola za Marekani milioni tatu kwa kushiriki operesheni ya siri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Inadaiwa katika habari hiyo kwa zaidi ya wanajeshi 400...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatetea tuzo yake kwa Warioba

NISHANI ya Kuuenzi Muungano aliyopewa Jaji Joseph Warioba, haikumaanisha kumkejeli, bali amepewa kwa heshima kama ilivyo kwa viongozi wengine waliopewa nishani hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani