Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU NAMNA YA KUADHIMISHA SIKU YA UHURU

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Siku ya Uhuru

 Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu namna ya kuadhimisha siku ya Uhuru ya tarehe 9/12/2015 na kusema kuwa siku hiyo sio siku ya mapumziko.

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA

Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akiongoza timu ya wafanyakazi wa Mfuko pamoja na wafanyakazi wa Dangote kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Mh Rais John Pombe Magufuli la kuhakikisha watanzania wanafanya usafi katika maeneo yao.Zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara likiendelea ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru...

 

11 years ago

Michuzi

Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuzo aliyotunukiwa Jaji Warioba

Rais Kikwete akimtunuku Nishani,  Daraja la Kwanza,  ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014. (picha, maelezo: Freddy Maro, IKULU) Rais Kikwete akimtunuku Nishani,  Daraja la Kwanza,  ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014.
Na Magreth Kinabo,  Maelezo  Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka kwa kuwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3

Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.

Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo operation”, ikiwa na maana kuwa wanajeshi wastaafu wanadai kulipwa dola za Marekani milioni tatu kwa kushiriki operesheni ya siri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Inadaiwa katika habari hiyo kwa zaidi ya wanajeshi 400...

 

9 years ago

CCM Blog

MBUNGE AYSHAROSE AUNGA MKONO UAMUZI WA RAIS DK. MAGUFULI KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU MWAKA HUU

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema Rais Dk. John Magufuli ni kiongozi mwenye kujali maslahi ya Watanzania hivyo maamuzi ya kuwataka wananchi kusherehekea kumbukumbu ya Uhuru kwa kufanya kazi na usafi, umeonyesha dhamira safi ya kiongozi huyo kwa wananchi.

Amesema, uamuzi huo umejali maslahi ya taifa kwa sababu fedha nyingi zingetumika kwenye masuala yasiyokuwa na ulazima kwa wananchi.

Pia, ametoa rai kwa watumishi na viongozi wenzake wa serikali kufanyakazi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani