Serikali yatetea tuzo yake kwa Warioba
NISHANI ya Kuuenzi Muungano aliyopewa Jaji Joseph Warioba, haikumaanisha kumkejeli, bali amepewa kwa heshima kama ilivyo kwa viongozi wengine waliopewa nishani hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3LYTiUcdj6Y/U1uewqvxPLI/AAAAAAAA9_8/zf3coGvVtE8/s72-c/D92A1183.jpg)
Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuzo aliyotunukiwa Jaji Warioba
![Rais Kikwete akimtunuku Nishani, Daraja la Kwanza, ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014. (picha, maelezo: Freddy Maro, IKULU) Rais Kikwete akimtunuku Nishani, Daraja la Kwanza, ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014. (picha, maelezo: Freddy Maro, IKULU)](http://4.bp.blogspot.com/-3LYTiUcdj6Y/U1uewqvxPLI/AAAAAAAA9_8/zf3coGvVtE8/s1600/D92A1183.jpg)
Na Magreth Kinabo, Maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka kwa kuwa...
11 years ago
BBCSwahili04 Jun
Brazil yatetea maandalizi yake
10 years ago
BBCSwahili31 May
China yatetea miradi yake baharini
10 years ago
Habarileo17 Dec
CUF yatetea anguko lake serikali za mitaa
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeelezea sababu za kufanya vibaya katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Serikali imejiaibisha kwa kumdhalilisha Warioba
SERIKALI imejiaibisha kwa kutoa madai dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba. Imemdhalilisha si yeye tu, bali wajumbe wa tume na Rais...
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Warioba na timu yake wanapaswa kupongezwa
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-65fCqfqShy8/XqbKuLZVKoI/AAAAAAAC4Dg/AotFcR3xvzAfnhiaLM5kzAbbY-kzXobrgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
DIAMONDIAKABIDHI KWA SERIKALI HOTELI YAKE ITUMIKE KUHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-65fCqfqShy8/XqbKuLZVKoI/AAAAAAAC4Dg/AotFcR3xvzAfnhiaLM5kzAbbY-kzXobrgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Diamond amesema hayo leo ikiwa ni siku mbili baada kutangaza kuwalipia nyumba watu 500 ili kuondokana na adha ya kodi katika kipindi hiki cha maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.
“Misukumo ya kusaidia watu, imetokana na malezi niliyolelewa, maisha niliyotokea na historia yangu ya nyuma. Nikikumbuka...
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
CCM ilifufuka kwa mikutano ya hadhara inayokatwaza na serikali yake sasa!
JAMBO moja nililolisikia likirudiwa katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wiki iliyopi
Njonjo Mfaume
5 years ago
Michuzi24 Jun
Serikali yamlipa mchimbaji mdogo zaidi ya Bilioni 7.74 kwa madini yake ya Tanzanite
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/b40f7044-3177-4651-8a94-d81001b23f08.jpg)
Mchimbaji mdogo wa madini, Saniniu Kurian Laizer, akimkabidhi waziri wa madini Dotto Biteko mawe ya Tanzanite yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 7.74 katika hafla fupi iliyofanyika Mirerani.Pichani kati ni Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stansalus Nyongo
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/dd7daf87-392d-4223-963a-060b1369559c.jpg)
Katibu Mkuu wizara ya Madini Prof Simon Msanjila akizungumza wakati wa hafla ya kupokea madini kutoka kwa mchimbaji mdogo wa Mirerani.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/ee85e80e-013a-4a7b-af47-a549941a3689.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira (wa Pili Kushoto), Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania...