Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Brazil yatetea maandalizi yake

Rais wa Brazil Dilma Rousseff ametetea jinsi ambavyo taifa lake limetayarisha Kombe la Dunia litakaloanza juma lijalo jijini Sao Paulo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

China yatetea miradi yake baharini

Mmoja wa makamanda wakuu katika jeshi la China ametetea sera za nchi hiyo za kujenga miradi katika maeneo yanayozozaniwa baharini

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatetea tuzo yake kwa Warioba

NISHANI ya Kuuenzi Muungano aliyopewa Jaji Joseph Warioba, haikumaanisha kumkejeli, bali amepewa kwa heshima kama ilivyo kwa viongozi wengine waliopewa nishani hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA yaonya Brazil kuhusu maandalizi ya kombe la dunia

FIFA imetoa onyo kwa Brazil kuwa Curitiba huenda ukaondolewa miongoni mwa miji itakayoandaa fainali ya kombe la dunia kutokana na kuchelewesha kwa ujenzi

 

9 years ago

Mtanzania

Minaj afanya maandalizi ya ndoa yake

nicki-minaj-meek-millNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, ameweka wazi sehemu ambayo atafunga ndoa na mpenzi wake Meek Mill, mwaka 2016.

Wasanii hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa mwaka mmoja sasa, hivyo wanatarajia kufunga ndoa mwakani huku Minaj tayari akiweka wazi sehemu sahihi ambayo wataifungia ndoa hiyo.

“Mwaka 2016 ninatarajia kufunga ndoa na Meek Mill, ninaona sehemu sahihi ya kufungia ndoa hiyo ni kanisani au ufukweni.

“Sehemu zote mbili ziko tayari lakini muda ukifika...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA UJERUMANI KUWASILI LEO USIKU , MAANDALIZI YA MAPOKEZI YAKE YAKAMILIKA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadiki amewaomba wakazi wa jiji la Dar es salaam kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh.Joachim Gauck  (pichani) anayetarajiwa kuwasili nchini Tanzania  usiku huu kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
Akizungumzia ujio wa rais huyo ofisini kwake  leo jijini Dar es salaam Mh. Meck Sadiki amesema kuwa rais Joachim Gauck na msafara wake atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere majira ya saa...

 

11 years ago

Michuzi

CUF kinaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya Mkutano Mkuu Taifa

Na Hassan Hamad (OMKR)
Chama Cha Wananchi CUF kinaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya Mkutano Mkuu Taifa utakaoambatana na uchaguzi wa viongozi wakuu wa Kitaifa wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi kuu za Chama hicho Buguruni Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amesema maandalizi yote ya msingi kwa ajili ya mkutano huo yamekamilika.  Maalim Seif amesema katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 hadi 27 mwezi huu,...

 

11 years ago

CloudsFM

KOCHA WA ITALIA AJIUZULU DAABA YA TIMU YAKE KUTUPWA NJE BRAZIL #Brazuka

uda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.“Nilichagua mfumo fulani wa ukufunzi na ndio sababu...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yatetea wanahabari

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeungana na wadau wa sekta ya habari nchini kupinga usiri na udharura unaotaka kufanywa na Serikali katika miswada miwili muhimu inayogusa masilahi ya mwananchi mmoja mmoja na makundi ya wadau mbalimbali katika jamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM Moro yatetea mawaziri

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, kimesema wabunge wake waliopo kwenye nyadhifa za uwaziri sio mizigo kwa kuwa wameonekana kufanya kazi vizuri. Wabunge wa Mkoa wa Morogoro ambao wamo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani