Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yatetea wanahabari

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeungana na wadau wa sekta ya habari nchini kupinga usiri na udharura unaotaka kufanywa na Serikali katika miswada miwili muhimu inayogusa masilahi ya mwananchi mmoja mmoja na makundi ya wadau mbalimbali katika jamii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TCAA yatetea gharama mpya

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imesema gharama mpya za huduma za anga zilizopandishwa na mamlaka hiyo mwanzoni mwa mwaka huu, hazitaathiri ushindani wa nchi kibiashara

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil yatetea maandalizi yake

Rais wa Brazil Dilma Rousseff ametetea jinsi ambavyo taifa lake limetayarisha Kombe la Dunia litakaloanza juma lijalo jijini Sao Paulo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yatetea msimamo wake

Vladmir Putni ametetea uamuzi wa Urusi wa kuingilia kijeshi nchini Syria akisema hatua hiyo itasaidia kuleta mazingira ya kurejesha suluhisho la kisiasa nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

England yatetea wachezaji chipukizi

England imetetea uamuzi wa kutowatumia wachezaji wa ligi kuu ya nchi hiyo ili kuwapa nafasi wachezaji chipukizi

 

11 years ago

Habarileo

TMA yatetea utabiri wake

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema asilimia 87 ya utabiri wa hali ya hewa, uliotolewa mwaka jana, ulikuwa sahihi. Aidha, imeeleza kuwa ili kuweza kuwafikia watu zaidi mamlaka hiyo, inatarajia kuanzia kituo cha Redio, ambacho kitatoa utabiri pekee.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN yatetea juhudi za kuangamiza Ebola

Mratibu wa Umoja wa mataifa kuhusu ugonjwa wa ebola Davis Nabarro ametetea juhudi za kimataifa za kupambana na ugonjwa huo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini yatetea majeshi ya UG

Waziri wa mashauri ya Nchi za kigeni wa Sudan Kusini Barnaba Marial Benjamin, ametetea kuwepo kwa wanajeshi wa Uganda Nchini mwake.

 

11 years ago

Habarileo

EPZA yatetea shughuli zake

MAMLAKA ya Mauzo ya Nje (EPZA) imetaka jamii kuondokana na dhana kwamba shughuli inazozifanya pamoja na manufaa, yanayopatikana ni kwa ajili ya wawekezaji wa nje pekee.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM Moro yatetea mawaziri

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, kimesema wabunge wake waliopo kwenye nyadhifa za uwaziri sio mizigo kwa kuwa wameonekana kufanya kazi vizuri. Wabunge wa Mkoa wa Morogoro ambao wamo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani