Uhaba wa dawa, vifaa tiba mzigo kwa Serikali
Suala la uhaba wa dawa na vifaa tiba katika hospitali nchini ikiwamo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, limeonekana kuielemea Wizara ya Afya baada ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuthibitisha, huku akidai kuwa Serikali itapeleka fedha kwa awamu Bohari ya Kuu ya Dawa ili kupunguza uhaba huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziFAFANUZI KUHUSU UHABA WA DAWA MUHIMU NA VIFAA TIBA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMI.
Kuna taarifa katika vyombo vya habarii liyotolewa na Shirika lisilo la Kiserikali la SIKIKA ,kwamba serikali haijalipa kiasi cha shilingi bilioni 90 kwa bohari kuu ya dawa na kusababishia ukosefu dawa katika baadhi ya hospitali.
Ni kweli bohari kuu ya dawa imepungukiwa fedha za kununulia dawa , lakini sio kwa kiasi cha kushindwa kutoa huduma kabisa kama inavyoelezwa. Kiasi cha pesa kinachotajwa si kigeni na serikali imekua...
10 years ago
MichuziMSD YAKUBALI AGIZO LA SERIKALI KUWEKA ALAMA KATIKA DAWA NA VIFAA TIBA
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD),Cosmas Mwaifwani amesema bohari ya dawa imepokea agizo la serikali kuweka alama katika dawa za umma pamoja na vifaa tiba ili kuweza kudhibiti upotevu wa dawa pamoja na vifaa tiba.
Mwaifwani aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati bohari hiyo katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Alisema katika mkakati mwingine ni kuanzisha maduka ya jumla...
5 years ago
MichuziUZALISHAJI WA VAZI KINGA (PPE) MUHIMBILI WAONGEZEKA KWA 400% HUKU MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) IKIRIDHIA NA KULITAMBUA
10 years ago
Habarileo08 Jun
Mpango mpya kusimamia dawa, vifaa tiba wazinduliwa
SERIKALI imezindua mpango wa kusimamia upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa njia za kielektroniki ili kuboresha na kumaliza manung’uniko ya watu kuhusiana na tatizo hilo.
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WA DAWA NA VIFAA TIBA WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA
Hayo yamesemwa jana na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini Proches Patrick wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, alisema kumekuwepo na baadhi ya wafanya biashara wasio...
5 years ago
CCM BlogKIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Sugu: Serikali iondoe kodi vifaa tiba mbadala
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema kuna haja kwa Serikali kungalia namna ya kuondoa ushuru katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya masuala ya tiba mbadala, kwani wanaonufaika...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Pareso: Serikali itatue tatizo la vifaa tiba Muhimbili
MBUNGE wa Viti Maalum, Cecilia Pareso (CHADEMA) ameitaka serikali ieleze ina mikakati gani ya kutatua matatizo ya ukosefu wa vifaa tiba, madawa pamoja na vifungashio ambavyo vinaikabili Hospitali ya Rufaa...