Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pareso: Serikali itatue tatizo la vifaa tiba Muhimbili

MBUNGE wa Viti Maalum, Cecilia Pareso (CHADEMA) ameitaka serikali ieleze ina mikakati gani ya kutatua matatizo ya ukosefu wa vifaa tiba, madawa pamoja na vifungashio ambavyo vinaikabili Hospitali ya Rufaa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Misri yaleta vifaa tiba, madaktari Muhimbili

SERIKALI ya Misri imetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya sh milioni 400 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuahidi kuleta madaktari kubadilishana uzoefu. Akizungumza katika hafla fupi...

 

9 years ago

StarTV

Muhimbili wapokea msaada wa vifaa tiba kutoka UNICEF

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dokta Donan Mbando amepokea vifaa tiba vyenye thamani ya dola za kimarekani laki moja sawa na shilingi milioni mia mbili na tatu za kitanzania kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.

Vifaa hivyo vimetolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam kwa ajili ya kupunguza vifo vya watoto takribani elfu moja ambao hufa kila mwaka kulingana na Takwimu za Wizara ya Afya.

Akipokea msaada huo jengo la watoto katika...

 

5 years ago

CCM Blog

KIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. ngella Kairuki akiteta jambo katika Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu iliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu wakifuatilia hoja na maelezo kutoka kwa Viongozi wa Serikali wakati wa Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu uliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Mwenyekiti wa Chama cha...

 

5 years ago

Michuzi

UZALISHAJI WA VAZI KINGA (PPE) MUHIMBILI WAONGEZEKA KWA 400% HUKU MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) IKIRIDHIA NA KULITAMBUA

Mafundi wa kitengo cha Ushonaji MNH wakiendelea na ushonaji wa vazi la PPEVazi la PPE likiwa tayari kupelekwa kwa wateja .Mafundi wa Kitengo cha Ushonaji MNH wakiwa katika maandalizi ya awali ya ushonaji wa vazi la PPEMuonekano wa vazi la PPE linaloshonwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.******************************* Dar es Salaam, Jumanne Mei 19,...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala

Serikali imesema ina taarifa za kuingizwa kwa mashine za kuchukulia vipimo bila ya kusajiliwa na kusisitiza kuwa itaweka bayana msimamo wake baada ya siku 14 ilizotoa kwa matabibu wa tiba mbadala kuwasilisha taarifa za huduma zao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu: Serikali iondoe kodi vifaa tiba mbadala

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema kuna haja kwa Serikali kungalia namna ya kuondoa ushuru katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya masuala ya tiba mbadala, kwani wanaonufaika...

 

10 years ago

Mwananchi

Uhaba wa dawa, vifaa tiba mzigo kwa Serikali

Suala la uhaba wa dawa na vifaa tiba katika hospitali nchini ikiwamo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, limeonekana kuielemea Wizara ya Afya baada ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuthibitisha, huku akidai kuwa Serikali itapeleka fedha kwa awamu Bohari ya Kuu ya Dawa ili kupunguza uhaba huo.

 

5 years ago

Michuzi

Bashungwa:Serikali kulinda Viwanda vinavyozalisha vifaa tiba ya kujikinga na Corona

Uzalishaji wa Barakoa ukiendelea katika kiwanda Cha Pristine Manufacturing Company Limited. Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda Cha Pristine Manufacturing Company Limited Kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam Alnoor Lakha wakati waziri huo alipotembea kiwanda hicho. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Akida Khea akizungumza namna wanavyozalisha Vifaa Tiba vya  Barakoa na kuwazimeweza kukidhi vigezo...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kutoa vifaa vya upimaji maradhi Wataalamu Wa Tiba Asili

 

Wataalamu wa tiba asili wameiomba Serikali kutoa usaidizi wa vifaa vya upimaji wa maradhi mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha kutoa tiba kwa kiwango kinachokubalika.

Baadhi ya hospitali nchini zinadaiwa kuwa zimekuwa zikitoa masharti magumu kwa waganga wa tiba asili kupata vipimo kwa wagonjwa wao hali inayowafanya kujiingiza katika upigaji ramli chonganishi.

 

Wilaya ya Chato mkoani Geita iliyopo Magharibi mwa Tanzania baada ya kumtoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,umaarufu wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani