Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMO WA MADEREVA WAISHA KWA MUAFAKA WA MADAI YAO KUSHUGHULIKIWA NA SERIKALI


Na Bakari Issa MajeshiMgomo wa Madereva uliodumu  kwa takriban siku moja na ushee, hatimaye umepata muafaka baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (pichani) kufanikiwa kuusuluhisha kwa kusaini makubaliano na Uongozi wa Chama cha Madereva.Makubaliano hayo yaliitaka Serikali kuboresha  Mikataba kwa Madereva, malipo kwa madereva hao, pamoja na tatizo la ukaguzi wa magari ili kuondoa usumbufu kwa madereva hao, na kuiomba Serikali kufanya ukaguzi huo kwa siku moja tu.Akizungumza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VYAMA VYA WAONGOZA WATALII NA WAPAGAZI TANZANIA WATOA SIKU 30 KWA SERIKALI KUSHUGHULIKIA MADAI YAO.

Mwenyekiti wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Respicius Baitwa akizungumza katika mkutano wa vyama vinayofanya shughuli za Utalii katika hifadhi za taifa juu ya kusudio la kutaka kusitisha kutoa huduma katika hifadhi kutokana na malalamiko yao kutofanyiwa kazi hadi sasa.Baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.
Katibu wa KGA ,James Mong'ateko akizungumza katika mkutano huo.Wajumbe wengine wa vyama vinayofanya shughuli za...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo wa EFD waisha

 >Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imetangaza kusitisha mgomo wa wafanyabiashara uliodumu kwa takriban siku tano kupinga notisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya kuwapa siku 14 za kufunga Mashine za Elektroniki za Kutoza Kodi (EFD).

 

10 years ago

Mwananchi

VIFO: Mgomo waisha, ajali zarejea

>Watu watano wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mikoa ya Dodoma na Iringa ikiwa ni muda usiozidi saa 24, baada ya kumalizika mgomo wa madereva wa mabasi na malori.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi wa TRL waiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya malimbikizo

Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa malipo ya malimbikizo ya mshahara wao wa miezi mitano wanaoudai uongozi wa kampuni hiyo.

Wafanyakazi wa kampuni hiyo wametishia kwenda Ikulu kumuona Rais John Magufuli iwapo hawatolipwa malimbikizo ya jumla ya Shilingi Bilioni 2.4 ya kuanzia Julai hadi Novemba 2014.

Wafanyakazi hao wa Kampuni ya Reli nchini waliimba wimbo wa mshikamano baada ya uongozi wa kampuni kuondoka katika mkutano baina yao...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA MADEREVA TANZANIA CHATOA TAMKO KUHUSU MIKATABA YAO NA SERIKALI

Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Madereva, Rashid Saleh (kushoto) akitoa tamko hilo. Kulia ni mtunza hazina wa Chama hicho, Ramadhan Seleman. ....akihojiwa na waandishi wa habari. CHAMA cha Madereva Tanzania,  kimetoa tamko rasmi juu ya marekebisho ya mikataba yao, huku kikilalamikia kile kilichoitwa... “ukiukwaji wa…

 

9 years ago

StarTV

Watoto waporwa nyumba Mbarali kwa madai ya deni la baba yao

 

Watoto watano wa familia moja wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaiomba Serikali kuingilia kati mgogoro kati yao na mfanyabiashara mmoja anayemdai baba yao shilingi Milioni 1.2 kwa kupora nyumba na kuisambaratisha familia hiyo.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Mpakani kata ya Ubariku ambapo baba na mama wa familia hiyo walitengana mwaka 2008 na mahakama kuamuru nyumba hiyo kubaki mikononi mwa watoto.

Wakizungumza kijijini hapo watoto hao hussein mwataga na Zaveria Mwataga wameomba...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva waaswa, ulevi ni hatari kwa maisha yao

Askari Mkunde Said akimpima kiwango cha pombe dereva wa basi la mikoani, Emanuel Mkulangya kwa kutumia kifaa maalumu ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya kudhibiti ajali, mkoani Mbeya juzi. (Picha kwa hisani ya Vodacom).MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria, kutotumia vinywaji vyenye ulevi na kuacha tabia ya kuongea na simu kwa kutuma au kupokea ujumbe wa maneno wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali itafute muafaka wa Wamachinga

TUNAPENDA kulaani kwa nguvu zote vitendo vya matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwabughudhi wafanyabiashara ndogo ndogo mitaani, maarufu kama Wamachinga. Hata hivyo, hatuungi mkono hatua ya wafanyabiashara hao kukiuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani