VIFO: Mgomo waisha, ajali zarejea
>Watu watano wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mikoa ya Dodoma na Iringa ikiwa ni muda usiozidi saa 24, baada ya kumalizika mgomo wa madereva wa mabasi na malori.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Mgomo wa EFD waisha
 >Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imetangaza kusitisha mgomo wa wafanyabiashara uliodumu kwa takriban siku tano kupinga notisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya kuwapa siku 14 za kufunga Mashine za Elektroniki za Kutoza Kodi (EFD).
10 years ago
MichuziMGOMO WA MADEREVA WAISHA KWA MUAFAKA WA MADAI YAO KUSHUGHULIKIWA NA SERIKALI
Na Bakari Issa MajeshiMgomo wa Madereva uliodumu kwa takriban siku moja na ushee, hatimaye umepata muafaka baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (pichani) kufanikiwa kuusuluhisha kwa kusaini makubaliano na Uongozi wa Chama cha Madereva.Makubaliano hayo yaliitaka Serikali kuboresha Mikataba kwa Madereva, malipo kwa madereva hao, pamoja na tatizo la ukaguzi wa magari ili kuondoa usumbufu kwa madereva hao, na kuiomba Serikali kufanya ukaguzi huo kwa siku moja tu.Akizungumza...
9 years ago
MichuziAJALI NA VIFO VITOKANAVYO NA AJALI MKOA WA DAR ES SALAAM VYAPUNGUA
Mkuu wa usalama Barabarani Kanda Maalum Dar es Salaam, Peter Sima katikati akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Maonesho ya usalama barabarani ya yatakayofanyika tarehe Agosti 24 na 25 mwaka huu katika viwanja vya mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, kulia ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi na Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Kinondoni, Awadhi Haji na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani, Elifadhili Mgonja.Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa...
10 years ago
Habarileo18 Apr
Ajali tatu vifo 40 ndani ya siku sita
MSHITUKO wa matukio ya mfululizo ya ajali, umeendelea kugubika nchi, baada ya watu 20 kupoteza maisha katika ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace, iliyotokea jana wilayani Rungwe mkoani Mbeya.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Polisi, Bugando watofautiana vifo vya ajali
Vifo vilivyotokana na ajali ya basi la Luheye vimeongezeka huku idadi ikitofautiana kati ya Hospitali ya Rufani ya Bugando na Polisi mkoani Simiyu.
11 years ago
GPLAJALI, VIFO KWA WAIMBA INJILI UCHAWI WATAJWA
Gladness Mallya na Chande Abdallah
KUTOKANA na ajali na vifo kwa muziki wa Injili vilivyotokea hivi karibuni, imedaiwa kuwa baadhi vimetokana na uchawi.Baada ya kuzagaa kwa habari hizo, mapaparazi wetu walimtafuta Rais wa Chama cha Muziki wa Injili, Addo Novemba ambapo alikiri kuwa kweli uchawi upo na unahusika. Rais wa Chama cha Muziki wa Injili, Addo Novemba. “Kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo, hili la uchawi...
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Polisi yafafanua idadi ya ajali, vifo kwa 2010 - 13
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi wa takwimu za makundi ya magari au vyombo vilivyohusika katika ajali za barabarani, vifo na majeruhi kuanzia mwaka 2010 hadi 2013.
10 years ago
GPLVIFO KATIKA AJALI YA BASI NA FUSO MORO VYAONGEZEKA
IDADI ya vifo vilivyosababishwa na ajali ya basi la Nganga baada ya kugongana uso kwa uso na fuso kisha kuteketea moto jana katika eneo la Iyovi, Ruaha wilayani Kilosa katika barabara ya Morogoro - Iringa imeongezeka na kufikia watu 19. Kamanda wa Polisi Mkoa wa morogoro, Lenard Paul amesema hadi sasa miili sita imetambaulika na mingine bado haijatambulika kutokana na kuharibika vibaya.
...
10 years ago
GPLSEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR
 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO)  na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu  mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo. ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania