Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgomo wa EFD waisha

 >Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imetangaza kusitisha mgomo wa wafanyabiashara uliodumu kwa takriban siku tano kupinga notisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya kuwapa siku 14 za kufunga Mashine za Elektroniki za Kutoza Kodi (EFD).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

VIFO: Mgomo waisha, ajali zarejea

>Watu watano wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mikoa ya Dodoma na Iringa ikiwa ni muda usiozidi saa 24, baada ya kumalizika mgomo wa madereva wa mabasi na malori.

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA WAISHA KWA MUAFAKA WA MADAI YAO KUSHUGHULIKIWA NA SERIKALI


Na Bakari Issa MajeshiMgomo wa Madereva uliodumu  kwa takriban siku moja na ushee, hatimaye umepata muafaka baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (pichani) kufanikiwa kuusuluhisha kwa kusaini makubaliano na Uongozi wa Chama cha Madereva.Makubaliano hayo yaliitaka Serikali kuboresha  Mikataba kwa Madereva, malipo kwa madereva hao, pamoja na tatizo la ukaguzi wa magari ili kuondoa usumbufu kwa madereva hao, na kuiomba Serikali kufanya ukaguzi huo kwa siku moja tu.Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo matumizi ya EFD waendelea

Sakata la wafanyabishara kuendelea kugomea mashine za elektroniki, limechukua sura mpya baada ya maeneo mbalimbali kutangaza kuzikataa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mvutano kuhamia Digitali waisha Kenya

Mvutano kati ya serikali ya Kenya na vyombo vya habari kuhusu kuhamia mfumo wa digitali hivi sasa umeisha.

 

10 years ago

Habarileo

Mgogoro wa Mji Mpya Kigamboni waisha

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviHATIMAYE mgogoro wa ardhi uliokuwepo kwa muda mrefu baina ya serikali na wakazi wa Kigamboni, umefikia tamati baada ya serikali kukubaliana na wananchi kuhusu uendelezaji wa ardhi kupitia mpango wa Mji Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR waisha kwa changamoto

Wakati majaribio ya uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR yakiisha leo, wananchi wengi wameshindwa kujiandikisha kutokana na mpango wenyewe kusuasua.

 

10 years ago

Michuzi

MGOGORO WA MAENEO YA KILIMO YA VIJIJI VYA ZANZABAR WAISHA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Hati  ya umiliki wa eneo la Kilimo kwa Bwana Yuweni Kibwana Nzukwi  Mmoja miongoni mwa wakulima wa Vijiji vya Dole, Ndunduke na Kijichi  baada ya upatikanaji wa ufumbuzi wa mgogoro wa maeneo hayo.  Mkulima Ana Nyaka Buluju wa Dole    akikabidhiwa hati ya umiliki wa eneo la kilimo kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  hapo Skuli ya Wazazi Dole Wilaya ya Magharibi  “A “. Baadhi ya wakulima wa  Vijiji vya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wagomea EFD’s Dar

SIKU chache baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kutangaza kuanza uhakiki wa matumizi ya mashine za EFDs, wafanyabiashara wa maduka Kariakoo Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TRA: Mashine za EFD haziepukiki

WAKATI wafanyabiashara maeneo mbalimbali nchini wakiendelea na mgomo kupinga kununua mashine za EFDs, Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini, (TRA), Rished Bade, amesisitiza kuwa mashine hizo haziepukiki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani