Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgomo matumizi ya EFD waendelea

Sakata la wafanyabishara kuendelea kugomea mashine za elektroniki, limechukua sura mpya baada ya maeneo mbalimbali kutangaza kuzikataa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mgomo wa EFD waisha

 >Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imetangaza kusitisha mgomo wa wafanyabiashara uliodumu kwa takriban siku tano kupinga notisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya kuwapa siku 14 za kufunga Mashine za Elektroniki za Kutoza Kodi (EFD).

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hatujakataza matumizi mashine za EFD’

UONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiasha nchini (JWT) umesema haujawakataza wafanyabiashara kutumia mashine za kielektroniki za EFD bali wanachohitaji ni maboresho katika mashine hizo. Akizungumza na Tanzania Daima  jijini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Suala la matumizi ya EFD lisichukuliwe kisiasa

>Tangu Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na timu yake waanze ziara ya kikazi katika baadhi ya mikoa wiki iliyopita, wamesikika wakitoa kauli katika mikutano ya hadhara ambazo zimechukuliwa na baadhi ya wananchi kwamba zinaidhoofisha Serikali ya chama hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo

WAFANYABIASHARA  ya  maduka  katika  Halmashauri  ya Manispaa  ya  Songea, mkoani  Ruvuma, wameingia  katika  siku  ya  tatu  ya  mgomo  usiokuwa   na  kikomo, hali ambayo imesababisha  adha  kubwa  kwa  wakazi  wa  manispaa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mgomo wa waalimu Kenya waendelea

Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Kenya kimetoa ilaani ya siku 7 kwa serikali kutekeleza agizo la nyongesa ya mishahara kwa waalimu

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wa Strabag waendelea na mgomo

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag, inayotekeleza mradi wa mabasi ya kasi, Dart, wameendelea na mgomo ulioanza juzi kushinikiza uongozi uwalipe malimbikizo ya posho zao za takriban miezi saba.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)

SAM_1155

 

Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.

SAM_1160

Baadhi ya Waandishi wa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

CHUO KIKUU IRINGA WAENDELEA NA MGOMO

Na Friday Simbaya, Iringa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (zamani Chuo Kikuu cha Tumaini) kutoka vitivo vyote wamegoma kuingia madarasani kuushinikiza uongozi wa chuo hicho kutafuta njia mbadala ya kuwapatia fedha za kujikimu na chakula wakati wanaposubiri fedha zao kutoka Bodi ya Mikopo ambazo zimechelewa kutolewa. Wanafunzi hao wamesema hali yao ni mbaya na hawezi kusoma kutokana na mazingira waliyonayo kwa sasa kwani hata chakula kukipata kwao imekuwa ni changamoto kubwa. Tatizo la...

 

10 years ago

Michuzi

Madereva waendelea na Mgomo wao leo

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa katika majadiliano na Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya namna ya kuumaliza mgomo wa Madereva wa Mabasi katika stendi kuu ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo. Hapo wanasubiriwa viongozi wa Madereva hao.Hali ilivyo Stendi Kuu ya Mabasi, Ubungo jijini Dar hivi sasa. hakuna basi lililoweza kuondoka siku ya leo.
Kikao cha nje kikiendelea.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akiambatana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani