Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagomea EFD’s Dar

SIKU chache baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kutangaza kuanza uhakiki wa matumizi ya mashine za EFDs, wafanyabiashara wa maduka Kariakoo Dar es...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA KARIAKOO DAR WAGOMEA MASHINE ZA EFD

Baadhi ya maduka yaliyoko  mitaa mbalimbali ya Kariakoo yakiwa yamefungwa. BAADHI ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamegoma kufungua maduka wakidai warudishiwe mashine za mkono za awali badala ya zile za EFD, wakisema zinatumia ‘network’ na inapokuwa  haipo panakuwa na  usumbufu kwa wauzaji na wateja. Kamera ya  GPL imezunguka maeneo… ...

 

11 years ago

GPL

MWANZA, MORO NAO WAGOMEA MASHINE ZA EFD

Wafanyabiashara jijini Mwanza na mkoani Morogoro nao wamefunga maduka leo ikiwa ni muendelezo wa kupinga matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti (EFD). Tayari, wafanyabiashara miji ya Iringa, Songea na Mara wametoa msimamo wa kugomea matumizi ya mashine hizo na kuazimia kufunga biashara zao kama njia ya kupinga matumizi yake. Jijini Dar wafanyabiashara wa maduka ya Kariakoo bado wameendelea na mgomo huo ulioanza jana....

 

11 years ago

Mwananchi

Wapinzani wagomea maridhiano

>Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesema unachofanya sasa ni kuonana na wananchi ili kuwaeleza maovu yanayofanywa na Chama Cha Mapinduzi kwenye Bunge Maalumu la Katiba na kwamba hauna nafasi ya kufanya maridhiano na chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Wamaasai wagomea mipango miji

Jamii ya wafugaji wa kabila la Wamasai katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo wamepinga vikali hatua ya Serikali kuingiza kijiji hicho kwenye mpango wa mipango miji wakati eneo hilo likiwa limetengewa kwa matumizi ya wafugaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Kibaha wagomea machinjio mapya

Umoja wa Wafanyabiashara wa nyama na mazao yake Kibaha mkoani Pwani (UWABINK) umekataa kuitumia machinjio mpya iliyojengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha katika Mtaa wa Mtakuja kwa madai kuwa miundombinu yake haijakamilika.

 

10 years ago

Habarileo

Wagomea ujenzi wa maabara mbele ya RC

WANANCHI wa Kijiji cha Mahaha, kata ya Shishani, tarafa ya Ndagalu wilayani Magu, mkoani Mwanza wamegoma kuendelea na ujenzi wa maabara katika Sekondari ya Shishani na badala yake wanataka kuendelea na ujenzi wa sekondari ya kijiji chao.

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi wagomea utitiri wa serikali

KATIKA Katiba mpya, wafanyakazi nchini hawataki utitiri wa serikali, bali nyongeza ya mishahara ya angalau kima cha chini cha Sh 315,000 na kupunguzwa kwa makato ya kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba wagomea posho

JINAMIZI la kutaka posho nono kwa watu wanapopewa majukumu ya kufanya kazi za umma limezidi kushika kasi baada ya jana wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka waongezewe posho zaidi....

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wagomea Sh 90m za ‘mashangingi’

Wakati Serikali ikihaha kutafuta fedha kwa ajili ya kuendeshea shughuli zake, wabunge wameingia kwenye mvutano na ofisi ya Bunge kuhusu fedha ambazo watunga sheria hao wanastahili kupewa kwa ajili ya kununulia magari yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani