Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamaasai wagomea mipango miji

Jamii ya wafugaji wa kabila la Wamasai katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo wamepinga vikali hatua ya Serikali kuingiza kijiji hicho kwenye mpango wa mipango miji wakati eneo hilo likiwa limetengewa kwa matumizi ya wafugaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Simbachawene alia na mipango miji

>Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene amesema moja kati ya mambo yanayosababisha migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji ni kukosekana kwa viongozi imara wanaofuata sheria kuanzia ngazi ya kijiji hadi halmashauri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mipango miji wapiga hodi Jangwani

HATIMAYE wajumbe wa Baraza la Madiwani Manispaa ya Ilala jana walifanya ziara ya uhakiki wa eneo la Jangwani ambalo linamilikiwa na Klabu ya Yanga, mitaa ya Twiga na Jangwani, jijini...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal ataka sheria kufuatwa mipango miji

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal, ametaka sheria zifuatwe katika upangaji wa miji na majiji nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi Mipango Miji yaja na mkakati uboreshaji

Bodi ya Usajili wa Wataalamu wa Mipango Miji nchini, imeanzisha mpango kuhakikisha mipango yote ya maendeleo inahusisha wataalamu wa mipango miji ili miji na vijiji nchini vijengwe katika mfumo ulio bora.

 

5 years ago

Michuzi

JIJI LA DODOMA LAKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA SH MILIONI 345 KWA WATAALAMU WAKE WA MIPANGO MIJI

Charles James, Globu ya Jamii
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limekabidhi magari matatu kwa Idara ya Mipango Miji kwa ajili ya kurahisisha shughuli za wataalamu wake katika kudhibiti ujenzi holela kwenye jiji hilo.
Hayo yamefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa la kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa Jiji la Dodoma.
Akizungumza wakati wa kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema magari hayo yamegharimu kiasi cha Sh...

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA MIPANGO MIJI NA VIJIJI ZANZIBAR YAANDAA MRADI WA KUBORESHA MAENEO MATANO YA WAZI YA MJI WA ZANZIBAR CHINI YA UFADHILI WA SHIRIKA LA SDC LA SWITZERLAND.

 Mkuu wa Ushirikiano wa  Ubalozi wa Switzerland nchini Tanzaania Romana Tedeschi akizungumza na wananchi (hawapo pichani) walioshiriki uzinduzi wa Mradi wa kuboresha maeneo matano ya wazi ya Mji wa Zanzibar kwa kuanzia na  Kiwanja cha Demokrasia Kibandamaiti utakaofadhiliwa na Shirika la SDC la nchi hiyo. Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis akizindua  Mradi wa kuboresha maeneo ya wazi ya Mjini  Zanzibar katika hafla iliyofanyika Idara ya Ardhi na Upimaji Forodhani Mjini...

 

9 years ago

Press

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.

SONY DSC

SONY DSC

Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.

Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamaasai watakaomtumbuiza Obama

Kundi la wamaasai waliochaguliwa kumtumbuiza rais Obama atakapotua Kenya Ijumaa

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamaasai ni wasusi hodari Tz

Vijana wamaasai wamelazimika kuwacha ufugaji na sasa wanapatikana jijini Dar es Salaam wakitafuta ajira na kuishia kuwa wasusi watajika

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani