MWANZA, MORO NAO WAGOMEA MASHINE ZA EFD
Wafanyabiashara jijini Mwanza na mkoani Morogoro nao wamefunga maduka leo ikiwa ni muendelezo wa kupinga matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti (EFD). Tayari, wafanyabiashara miji ya Iringa, Songea na Mara wametoa msimamo wa kugomea matumizi ya mashine hizo na kuazimia kufunga biashara zao kama njia ya kupinga matumizi yake. Jijini Dar wafanyabiashara wa maduka ya Kariakoo bado wameendelea na mgomo huo ulioanza jana....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAFANYABIASHARA KARIAKOO DAR WAGOMEA MASHINE ZA EFD
11 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Wagomea EFD’s Dar
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kutangaza kuanza uhakiki wa matumizi ya mashine za EFDs, wafanyabiashara wa maduka Kariakoo Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
‘Hatujakataza matumizi mashine za EFD’
UONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiasha nchini (JWT) umesema haujawakataza wafanyabiashara kutumia mashine za kielektroniki za EFD bali wanachohitaji ni maboresho katika mashine hizo. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Wajasiriamali wafunguka mashine za EFD
HIVI karibuni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) chini ya Idara ya Elimu kwa Mlipa Kodi Mkoa wa Temeke, Dar es Salaam, waliendesha semina ya siku tatu kwa wafanyabiashara. Lengo lilikuwa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
TRA: Mashine za EFD haziepukiki
WAKATI wafanyabiashara maeneo mbalimbali nchini wakiendelea na mgomo kupinga kununua mashine za EFDs, Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini, (TRA), Rished Bade, amesisitiza kuwa mashine hizo haziepukiki na...
11 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Wafanyabiashara wazijadili mashine za EFD’s
KATIBU wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Sued Chemuchemu, amesema matumizi ya mashine za EFD’s ni kandamizi kwa wafanyabiashara kwa sababu wakati wa kutungwa kwa sheria ya matumizi yake hakuna mfanyabiashara...
10 years ago
Michuzi
Wafanyabiashara Washauriwa Kutumia Mashine za EFD
Kampuni ya COMPULYNX Tanzania inayoshughulika na usambazaji wa mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) imewashauri wafanya biashara nchini kutumia mashine hizo ipasavyo kwani husaidia kukuza pato la Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw Sailesh Savani wakati akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
“Wafanyabiashara wasiwe waoga kutumia mashine za EFD kwani huleta uhalali wa pande zote mbili ikiwemo Serikali...
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Nassari: Serikali inunune mashine za EFD China
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), ameihoji serikali ni kwanini isinunue mashine za kieletroniki (EFD) nchini China ambako zinauzwa kwa bei ndogo. Nassari amehoji hatua hiyo bungeni jana alipokuwa...
11 years ago
Habarileo08 May
Nasari ataka mashine za EFD zinunuliwe China
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari (Chadema), amehoji Serikali kwa nini isinunue mashine za kieletroniki (EFD) nchini China ambako zinauzwa kwa bei nafuu.