Watoto waporwa nyumba Mbarali kwa madai ya deni la baba yao
Watoto watano wa familia moja wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaiomba Serikali kuingilia kati mgogoro kati yao na mfanyabiashara mmoja anayemdai baba yao shilingi Milioni 1.2 kwa kupora nyumba na kuisambaratisha familia hiyo.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Mpakani kata ya Ubariku ambapo baba na mama wa familia hiyo walitengana mwaka 2008 na mahakama kuamuru nyumba hiyo kubaki mikononi mwa watoto.
Wakizungumza kijijini hapo watoto hao hussein mwataga na Zaveria Mwataga wameomba...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
Watoto Denis na Esther Lucas walazwa Geita hospitali kwa Madai Ya Kuunguzwa Na Baba
Watoto wawili wa familia moja wa kijiji cha Msasa kata ya Busanda wilayani Geita wanaodaiwa kuunguzwa kwa moto na baba yao mzazi kwa tuhuma ya kuiba mboga kwa jirani wamefikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita kwa matibabu zaidi.
Kufikishwa hospitalini hapo kumekuja siku mbili baada ya wasamaria wema kugundua kuwa watoto hao wameunguzwa midomo, mikono na miguu na kisha kufichwa ndani kwa zaidi ya siku sita na baba yao mzazi Lucas Petro mwenye umri wa miaka 29.
Watoto waliounguzwa ni...
10 years ago
Habarileo19 Sep
Watoto wamuua baba yao kwa fimbo
JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu, kwa tuhuma za kumpiga fimbo kichwani baba yao mzazi na kumsababishia kifo. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa, Gilles Muroto, alisema tukio hilo ni la mwezi Septemba 15, mwaka huu katika Kijiji cha Mkunyu Kata ya Kikukuru Tarafa ya Mabira wilayani Kyerwa.
10 years ago
GPLWATOTO WAMWOKOTA BABA YAO AKIWA AMECHINJWA
11 years ago
GPLWATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Watoto wadaiwa kumuua baba yao Kagera
10 years ago
Mwananchi28 Mar
Mama wa watoto waliobakwa na baba yao apata vitisho
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Baba hajazikwa, watoto wanagombea kuuza nyumba yake!
SINA hakika kama watu wote duniani wana kawaida ya kurithi mali za wazazi wao pindi wanapofariki, lakini nina uhakika utamaduni huu upo kwa sehemu kubwa sana katika jamii zetu sisi...
10 years ago
MichuziMGOMO WA MADEREVA WAISHA KWA MUAFAKA WA MADAI YAO KUSHUGHULIKIWA NA SERIKALI
Na Bakari Issa MajeshiMgomo wa Madereva uliodumu kwa takriban siku moja na ushee, hatimaye umepata muafaka baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (pichani) kufanikiwa kuusuluhisha kwa kusaini makubaliano na Uongozi wa Chama cha Madereva.Makubaliano hayo yaliitaka Serikali kuboresha Mikataba kwa Madereva, malipo kwa madereva hao, pamoja na tatizo la ukaguzi wa magari ili kuondoa usumbufu kwa madereva hao, na kuiomba Serikali kufanya ukaguzi huo kwa siku moja tu.Akizungumza...
5 years ago
MichuziWATOTO WAMJIA JUU BABA YAO MZAZI BAADA YA KUTAKA KUUZA ARDHI YAKE ILIYOKO ENEO LA KIJENGE JIJINI ARUSHA
Na Woinde Shizza ,ARUSHA
MGOGORO wa kugombea mali ikiwemo ardhi na majengo umeibuka katika familia ya Mzee Saimon Kamakia mara baada ya watoto wa mzee huyo kumtuhumu baba yao kutaka kuwapora ardhi ambayo waliachiwa urithi baada ya marehemu mama yao, kufariki dunia.
Kuibuka kwa mgogoro huo umeonekana umevuta hisia za wakazi wa eneo la Kijenge na ndani ya Jiji la Arusha na umesababisha kuvuruga amani ndani ya familia hiyo.
Baadhi ya watoto wa Mzee Kamakia akiwemo Nusin Kamakia walidai hatua ya...