Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WAMWOKOTA BABA YAO AKIWA AMECHINJWA

Stori: Haruni Sanchawa na Gabriel Ng’osha
MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Melasi Lutebula Ndabi ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa  Kamati ya Ulinzi  na Usalama Mtaa wa Muhimbili 2, Kata ya Pemba, Wilaya ya Temeke jijini Dar, ameuawa kwa kuchinjwa na watu  wanaodaiwa kufika kwake kwa ajili ya kukodi shamba la kulima matikiti. Mwili wa Melasi Lutebula Ndabi ukiwa umetupwa baada ya kuchinjwa. Habari...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO

Fatuma Hussein akiwa na watoto wake mapacha. Watoto mapacha wakiwa wamelala. Rahma akiwa kalala.…

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto wadaiwa kumuua baba yao Kagera

Polisi Wilaya ya Kyerwa, Mkoa wa Kagera wanawashikilia watoto watatu wa Kijiji cha Mkunyu, Kata ya Kikukuru wilayani Kyerwa kwa tuhuma za kumuua baba yao, Henry Siliakus (62) kutokana na mgogoro wa kifamilia.

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wamuua baba yao kwa fimbo

JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu, kwa tuhuma za kumpiga fimbo kichwani baba yao mzazi na kumsababishia kifo. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa, Gilles Muroto, alisema tukio hilo ni la mwezi Septemba 15, mwaka huu katika Kijiji cha Mkunyu Kata ya Kikukuru Tarafa ya Mabira wilayani Kyerwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mama wa watoto waliobakwa na baba yao apata vitisho

>Siku chache baada ya baba aliyedaiwa kubaka watoto wake wawili wakazi wa wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani kutiwa mbaroni na polisi, mama wa watoto waliokuwa wakitendewa unyama huo ameanza kupokea vitisho kutoka kwa  baadhi ya ndugu wa mume wake.

 

9 years ago

StarTV

Watoto waporwa nyumba Mbarali kwa madai ya deni la baba yao

 

Watoto watano wa familia moja wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaiomba Serikali kuingilia kati mgogoro kati yao na mfanyabiashara mmoja anayemdai baba yao shilingi Milioni 1.2 kwa kupora nyumba na kuisambaratisha familia hiyo.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Mpakani kata ya Ubariku ambapo baba na mama wa familia hiyo walitengana mwaka 2008 na mahakama kuamuru nyumba hiyo kubaki mikononi mwa watoto.

Wakizungumza kijijini hapo watoto hao hussein mwataga na Zaveria Mwataga wameomba...

 

5 years ago

Michuzi

WATOTO WAMJIA JUU BABA YAO MZAZI BAADA YA KUTAKA KUUZA ARDHI YAKE ILIYOKO ENEO LA KIJENGE JIJINI ARUSHA


Na Woinde Shizza ,ARUSHA
MGOGORO wa kugombea mali ikiwemo ardhi na majengo umeibuka katika familia ya Mzee  Saimon  Kamakia mara baada ya watoto wa mzee huyo kumtuhumu baba yao kutaka kuwapora ardhi ambayo waliachiwa urithi baada ya marehemu mama yao,  kufariki dunia.
Kuibuka kwa mgogoro huo umeonekana umevuta hisia za wakazi wa eneo la Kijenge na ndani ya Jiji la Arusha na umesababisha kuvuruga amani ndani ya familia hiyo.
Baadhi ya watoto wa Mzee Kamakia akiwemo Nusin Kamakia walidai hatua ya...

 

10 years ago

Bongo5

Zari: Sijawatelekeza watoto wangu, ninakaa nao siku 300, baba yao siku 65

Mrs Diamond Platnumz, Zari Ttale aka The Bosslady amesema hajawatelekeza watoto wake tofauti na watu wengi wanavyomshutumu kwakuwa siku za hivi karibuni amekuwa akiongozana na mpenzi wake huyo mpya. Zari amesema katika mwaka hukaa na wanae kwa siku 300 na zingine zilizosalia hukaa kwa baba yao ambaye walishaachana. “That awkward moment when everyone thinks you […]

 

10 years ago

GPL

MTITU AMJUA BABA YAKE AKIWA NA MIAKA 17

Na Mwandishi Wetu/Uwazi MKONGWE kunako filamu Bongo, William Mtitu amefunguka ya moyoni kuwa tangu amezaliwa alikuwa hamjui baba yake mzazi, Mtitu na amekuja kumjua akiwa tayari ametimiza miaka 17. Mwigizaji wa Bongo Muvi, William Mtitu akiwa na mwanaye Jane. Akizungumza na…

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha Nyuma ya Kamera: Yusuph Mlela Akiwa na Asha Boko Wakifanya Yao

Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa utengenezaji wa Movie mpya itakayojumuisha mastaa kadhaa wakiwemo, Yusuph Mlela na Asha Boko.

Jina la Movie na itatoka lini? Bado havijawekwa wazi.

Kwauzoefu wako na uelewa wako unadhani movie hii itakuwa ni ya namna gani? Mlela na Asha Boko wamecheza kwenye movie hii wakiwa na mahusiano ya namna gani?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani