Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukweli kuhusu umoja wa fedha Jumuiya ya Afrika Mashariki

 OKTOBA 20 hadi 24 mwaka  huu, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliandaa semina  kwa waandishi wa habari, mjini Bagamoyo  kujifunza mambo mbalimbali. Miongoni mwa mada zilizotolewa ni ukweli kuhusu umoja wa fedha katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wabunge wapata semina ya Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki

mof 1

Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji wa Uchumi Dkt. Mary Nagu akifungua semina ya Wabunge kuhusu Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum.

mof 2

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisisitiza umuhimu wa Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Wabunge katika semina iliyofanyika jana ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.

mof 3

Mkurugenzi Msaidizi...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Habari,
Nawatumia nafasi 13 za ajira mbalimbali zilizotangazwa na Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashari. Mjulishe ndugu, jamaa, au rafiki ili anufaike na fursa hizi. Kwa taarifa na maelekezo zaidi tafadhali tembelea http://www.eac.int/index.php?option=com_docman&Itemid=186

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania Kuchukua Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika  ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa...

 

10 years ago

Michuzi

JK akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki

Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).  Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo  jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita "Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...

 

11 years ago

Vijimambo

Wananchi waunga mkono ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Wengi wamependelea visa ya pekee ya utalii
uwezo wa kusafiri ndani ya kanda kwa kitambulisho cha taifa
miundombinu ya pamoja na uhuru wa kufanya kazi popote ndani ya Jumuiya.
Oktoba 7, 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanane kati ya kumi (80%) wanafikiri kuwa Tanzania inapaswa kubakia ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha,wananchi tisa kati ya kumi (85%) wanakubali uwepo wa ushirikiano mkubwa zaidi na Kenya na Uganda. Wananchi sita kati ya kumi pia wanauunga mkono upanuzi...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi Afrika Mashariki wajenge umoja’

Viongozi wa kisiasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wametakiwa kuacha vigugumizi katika masuala ya utangamano wa jumuiya hiyo, kwani wananchi ndiyo wanahitaji ushirikiano kwa manufaa yao ya kiuchumi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

1 (7)

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara kutoka Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Abdulla Makame Akiwaeleza waandishi wa Habari(hawapo pichani) Kuhusu Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi  wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Septemba 20 mwaka huu Jijini Arusha. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara hiyo Anthony Ishengoma.(Picha na Hassan Silayo).

Frank Mvungi- Maelezo

Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi  wanachama wa Jumuiya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani