Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Viongozi Afrika Mashariki wajenge umoja’

Viongozi wa kisiasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wametakiwa kuacha vigugumizi katika masuala ya utangamano wa jumuiya hiyo, kwani wananchi ndiyo wanahitaji ushirikiano kwa manufaa yao ya kiuchumi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kushuka kwa elimu Afrika Mashariki, dawa ni umoja

Tukubaliane kwanza kwamba, wazazi wote Afrika Mashariki tungependakuwarithisha watoto na wajukuu zetu elimu na nchi bora zaidi kuliko tulizo nazo hivi sasa .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ukweli kuhusu umoja wa fedha Jumuiya ya Afrika Mashariki

 OKTOBA 20 hadi 24 mwaka  huu, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliandaa semina  kwa waandishi wa habari, mjini Bagamoyo  kujifunza mambo mbalimbali. Miongoni mwa mada zilizotolewa ni ukweli kuhusu umoja wa fedha katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ASISITIZA UMOJA KWA MAJESHI YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na wachezaji wa timu ya mpira wa Miguu ya Jeshi la Uganda katika kilele cha michuano ya majeshi ya Nchi za Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar August 29, 2014.. Katika mechi ya kufunga mashindahayo Uganda na Tanzania zilitoka sare ya 1-1. Wapili kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wabunge wapata semina ya Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki

mof 1

Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji wa Uchumi Dkt. Mary Nagu akifungua semina ya Wabunge kuhusu Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum.

mof 2

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisisitiza umuhimu wa Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Wabunge katika semina iliyofanyika jana ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.

mof 3

Mkurugenzi Msaidizi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa siku 4 wa Umoja wa vyama vya Walimu wa Nchi za Afrika Mashariki (FEATU)

Mratibu Msaidizi wa Utafiti na Mafunzo wa Umoja wa Vyama vya Walimu wa Nchi za Afrika Mashariki (FEATU) Bi. Lucy Njura Barimbui akiwasilisha mpango kazi wa miaka 5 ya Mtandao wa Wanawake wa Vyama vya Walimu wa Afrika Mashariki (WNEA) katika Mkutano wa siku 4 uliofanyika Hoteli ya Executive iliyopo Kilimani Mjini Zanzibar. Katibu Mkuu wa chama cha walimu Zanzibar (ZATU) Mussa Omar Tafurwa akichangia kitu katika Mkutano wa mpango kazi wa miaka 5 wa Mtandao wa wanawake wa Vyama vya walimu wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wajenge utamaduni wa kuwajibika

TANZANIA imepitia mapito mbalimbali tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni mwaka 1961. Hadi sasa nchi yetu imepitia awamu nne za uongozi, ya kwanza ikiwa ya Baba wa Taifa, Mwalimu...

 

9 years ago

BBCSwahili

BAT 'iliwahonga' viongozi Afrika Mashariki

Uchunguzi wa BBC umegundua kuwa kampuni ya kutengeneza sigara ya British American Tobacco (BAT) imekuwa ikitoa hongo kwa viongozi wakuu serikalini katika mataifa ya Afrika Mashariki

 

11 years ago

Michuzi

Taswira za Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya afrika mashariki jijini Arusha

 Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha.  Rais Uhuru Kenyata wa Kenya ambae ndie Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Mwenyeji wa Mkutano huo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Wengine ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi Bwana Bazombasa, Makamu wa Pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani