Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wajenge utamaduni wa kuwajibika

TANZANIA imepitia mapito mbalimbali tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni mwaka 1961. Hadi sasa nchi yetu imepitia awamu nne za uongozi, ya kwanza ikiwa ya Baba wa Taifa, Mwalimu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi Afrika Mashariki wajenge umoja’

Viongozi wa kisiasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wametakiwa kuacha vigugumizi katika masuala ya utangamano wa jumuiya hiyo, kwani wananchi ndiyo wanahitaji ushirikiano kwa manufaa yao ya kiuchumi.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA VIONGOZI KUWAJIBIKA KABLA YA KUWAJIBISHWA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini kwenye uwanja wa Ilulu wilaya ya Lindi mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini ambapo aliwaambia CCM inasimamia uwajibikaji na kama mtu amekosea awajibike na akishindwa atawajibishwa mapema. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini ambapo aliwaambia wananchi hao CCM ni chama pekee chenye mfumo ulioanzia chini hivyo watu waache unyonge...

 

10 years ago

Mwananchi

Utamaduni wa viongozi kujiuzulu haupo nchini

Kuna wakati napatwa na butwaa ninapofuatilia taarifa za viongozi wanaojiuzulu katika nchi za wenzetu (sio za bara la Afrika).

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni

pinda

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.

pinda 2

Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961

Mkuu wa Mkoa wa Kagera wa sasa Mheshimiwa John V.K. Mongella ukimuaga aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera wa 20  Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe kwa jina maarufu Mulokozi.Tangu uhuru  wa iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania  mwaka 1961 miaka 53 ya uhuru mkoa wa Kagera umekuwa ukiongozwa na viongozi mbalimbali hasa katika nafasi ya  ukuu wa mkoa na kwa kipindi hicho chote hadi sasa tayari mkoa umeongozwa na wakuu wa mikoa wapatao 21 kwa vipndi  tofauti.

Viongozi hao  (Wakuu wa Mkoa)  waliowahi...

 

10 years ago

Habarileo

JK aagiza NHC wajenge nyumba za bei nafuu

RAIS Jakaya Kikwete ametaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuangalia uwezekano wa kujenga nyumba za gharama nafuu zaidi, ili kuwezesha hata wenye kipato cha chini kukopa na kuishi kwenye makazi bora.

 

5 years ago

Michuzi

Wahandisi wa Ujenzi Wazalendo lazima wajenge Heshima wakati wa kutekeleza Miradi wanayokabidhiwa -BALOZI SEIF ALI IDDI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Wahandisi wa Ujenzi Wazalendo lazima wajenge Heshima wakati wa kutekeleza Miradi wanayokabidhiwa katika misingi ya uaminifu kitendo kitachowajengea SIFA na hatimae kuaminika Zaidi.

Alisema wapo baadhi ya Wataalamu Wazalendo wenye tabia chafu isiyokubalika ya kuwadanganya Viongozi pamoja na Taasisi zilizowakabidhi Miradi ya Ujenzi bila ya kujali kwamba wametia saini Mkataba unaowapa wajibu wa kuutekeleza kwa muda muwafaka.

Balozi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sherehe zitufunze kuwajibika

KWA vifijo, nderemo na mbwewe za aina yake ambazo hazijawahi kuonekana Visiwani, hivi karibuni watu wa Zanzibar waliadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi yaliyofanyika Januari 12, 1964. Waliotayarisha wanafaa kupongezwa kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Ghasia: Nipo tayari kuwajibika

Hawa Ghasia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM,
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema kwamba yuko tayari kuwajibika iwapo atabainika amevuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchini.
Waziri Ghasia aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu taarifa ya awali ya upigaji kura katika Serikali za Mitaa.
“Nitakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani