Utamaduni wa viongozi kujiuzulu haupo nchini
Kuna wakati napatwa na butwaa ninapofuatilia taarifa za viongozi wanaojiuzulu katika nchi za wenzetu (sio za bara la Afrika).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Utamaduni wa kujiuzulu haupo tena
5 years ago
Michuzi
VIONGOZI YANGA WAANZA KUJIUZULU

Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Yanga Shija Richard, Salum Rupia na Rogers Gumbo wamejiuzulu nafasi zao leo ndani ya klabu hiyo.
Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Moja ya wadhamini wa Klabu hiyo kujiondoa kwa madai ya kupangiwa baadhi ya vitu na wajumbe wanne wa kamati ya utendaji.
Sakata hilo liliwafanya wanachama na viongozi wa matawi kumtaka Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dkt Mshindo Msolla kuwachukulia hatua kali wajumbe hao.
Katika taarifa wamesema, "Nimeamua kwa hiari yangu...
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Viongozi kujiuzulu pekee haitoshi
11 years ago
Habarileo25 Apr
Viongozi Chadema, CUF, NCCR watakiwa kujiuzulu
WANACHAMA wa vyama vya siasa vya upinzani kikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR-Mageuzi na Chama cha Wananchi-CUF, wametakiwa kuwashurutisha viongozi wao wa kitaifa wajiuzulu mara moja kwa kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
MichuziWajasiriamali, Wasanii na Wanahabari walioshiriki kwenye maonyesho ya Utamaduni nchini Oman,wajejea nchini
10 years ago
GPLWAJASIRIAMALI, WASANII NA WANAHABARI WALIOSHIRIKI KWENYE MAONYESHO YA UTAMADUNI NCHINI OMAN, WAJEJEA NCHINI
10 years ago
Michuzi22 Jan
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Viongozi wajenge utamaduni wa kuwajibika
TANZANIA imepitia mapito mbalimbali tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni mwaka 1961. Hadi sasa nchi yetu imepitia awamu nne za uongozi, ya kwanza ikiwa ya Baba wa Taifa, Mwalimu...
5 years ago
BBCSwahili15 Feb
Diane Gashumba: Ni waziri wa tatu kujiuzulu nchini Rwanda