Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI YANGA WAANZA KUJIUZULU


Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Yanga Shija Richard, Salum Rupia na Rogers Gumbo wamejiuzulu nafasi zao leo   ndani ya klabu hiyo.

Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Moja ya wadhamini wa Klabu hiyo kujiondoa kwa madai ya kupangiwa baadhi ya vitu na wajumbe wanne wa kamati ya utendaji.

Sakata hilo liliwafanya wanachama na viongozi wa matawi kumtaka Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dkt Mshindo Msolla kuwachukulia hatua kali wajumbe hao.

Katika taarifa wamesema, "Nimeamua kwa hiari yangu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Viongozi kujiuzulu pekee haitoshi

Jana Profesa Sosperter Muhongo alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Waziri wa Nishati na Madini, akieleza kuwa anataka nchi isonge mbele kwa kuwa suala la kumtaka Rais amwondoe kutokana na kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha mambo mengi kukwama.

 

10 years ago

Mwananchi

Utamaduni wa viongozi kujiuzulu haupo nchini

Kuna wakati napatwa na butwaa ninapofuatilia taarifa za viongozi wanaojiuzulu katika nchi za wenzetu (sio za bara la Afrika).

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi Chadema, CUF, NCCR watakiwa kujiuzulu

WANACHAMA wa vyama vya siasa vya upinzani kikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR-Mageuzi na Chama cha Wananchi-CUF, wametakiwa kuwashurutisha viongozi wao wa kitaifa wajiuzulu mara moja kwa kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Viongozi wa cuf waanza kusekwa

Bukoba. Jeshi la Polisi limewakamata watu 16 akiwamo Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Bukoba kwa madai ya kuhusika na vitendo vya uchomaji wa makanisa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bukoba. Watu hao, wakiwamo viongozi na […]

The post Viongozi wa cuf waanza kusekwa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa Umma waanza kubanwa

Viongozi wa Serikali waliobainika kuhusika katika matumizi mabaya ya madaraka na kutokutoa tamko la rasilimali na madeni, wameanza kuitwa mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wapya waanza kubebeshwa majukumu

MTANDAO wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (Mjumita), umeomba viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kuwa na dhamira ya kweli ya kukabili na kuhimili mabadiliko ya tabia nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO ALIKIELEZA MANJI NA KUTISHIA KUJIUZULU UENYEKITI YANGA SABABU YA UFISADI KAMA MENGI ATATHIBITISHA


KATIKA PITAPITA, TUMEPATA BARUA YA MWENYEKITI WA YANGA KUPITIA MTANDAO WA www.manjivsmengi.com IKIELEZA MAMBO MENGI NA MWALIKO WA MDAHALO AMBAO MANJI AMEUTOA KWA MENGI.MDAHALO HUO UNAFANYIKA IJUMAA HII NA UTARUSHWA MOJA KWA MOJA NA TBC KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA 1 USIKU. SOMA BARUA HIYO.
Hisia za Bwana Mengi kwenye vyombo vya habari kuwa kampuni yangu inamiliki fedha za serikali chini ya Commodity Import Support (CIS)

Mengi ametupa lawama akizishutumu kampuni kama Farm Equip, Apollo Tires,...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga waanza kutetea taji

MABINGWA watetezi kwenye Ligi Kuu Bara, Yanga, leo wanaanza kampeni za kutetea taji hilo kwa kukwaana na Coastal Union kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi waanza kuwasili nchini kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim  akimpokea Waziri Mkuu wa Msumbiji,  Mhe. Dr. Alberto Antonio Vaquina mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Waziri Mkuu huyo ambaye ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Eduardo Coloma ni miongoni mwa viongozi wengi kutoka duaniani kote watakaoshiriki Maadhimisho ya kilele cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani