Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi waanza kuwasili nchini kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim  akimpokea Waziri Mkuu wa Msumbiji,  Mhe. Dr. Alberto Antonio Vaquina mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Waziri Mkuu huyo ambaye ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Eduardo Coloma ni miongoni mwa viongozi wengi kutoka duaniani kote watakaoshiriki Maadhimisho ya kilele cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Umoja wa Mataifa waanza maadhimisho ya miaka 70 kwa kupanda miti Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Mhe. Binilith Mahenge  akiwahutubia wananchi (hawapo pichani) kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed  Gharib Bilal wakati wa tukio la upandaji miti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 70 ya Ummoja wa Mataifa lilofanyika katika Kijiji cha Marua, Mkoani Kilimanjaro. Mhe. Waziri aliwaasa wananchi waliojitokeza na Watanzania kwa ujumla kulinda na kuhifadhi mazingiraMabalozi na Wakuu wa Mashirika...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI KUTOKA SEHEMU NCHI MBALIMBALI WAZIDI KUMIMINIKA KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MUUNGANO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha National People's Congress cha China na Naibu Spika, Mhe. Chen Changzhi wakimsikiliza Mkalimani wakati wa mazungumzo yao mara baada ya Mhe. Chen kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Chen yupo nchini akimwakilisha Rais wa China kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo tarehe 26 Aprili,...

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA KLABU YA BARCELONA WAANZA KUWASILI NCHINI

Nguli wa soka wa timu ya taifa ,Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona,Johan Cruyff (Kulia) akiongozana na mwenyeji wake,Rayco Garcia mara baada ya kuwasili katika uwanja a ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)

Dixon Busagaga (Kushoto) wa Globu ya Jamii na Busagaga's Orijino Blog akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa ziara hiyo ya magwiji wa Barcelona.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

5 years ago

Michuzi

UFARANSA YATENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.10 KWA AJILI YA KUHAMASISHA WATANZANIA KUJUA LUGHA YA KIFARANSA, AGUSIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50...


Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

NCHI ya Ufaransa imesema kwamba imetenga zaidi ya shilingi  Bilioni 1.10  kwa ajili ya kutoa mafunzo ya lugha ya Kifaransa kwa walimu na maprofesa mbalimbali nchini Tanzania kwa ajili ya kuhakikisha lugha hiyo inazungumzwa na Watanzania wengi.

Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba mkakati wa nchi hiyo ni kuhakikisha lugha ya Kifaransa inaendelea kuwa na watu wengi zaidi ambao watakuwa wanaizungumza kwa ufasaha na kuitumia kama sehemu muhimu ya Mawasiliano...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WAANZA KUWASILI SHEREHE YA FUNGA MWAKA DMV SASA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 HAWATALIPA KIINGILIO

MWANACHAMA HAI KUPATA VINYWAJI  2 BURE
 Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiwa na Asha Nyang'anyi wakimpa kampani mgeni wao Mhe. Kadari Singo mwakilishi wa Diaspora Bubge la katiba atayezungumuza na Watanzania leo kuhusiana na Bunge hilo na yeye pekee ndieye atakayekuwa na kipindi cha maswali na majibu katika kuhitimisha sherehe ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2015 itakayofanyikia ukumbi wa Oxford uliopo Lanham kuanzia saa 1 usiku (7pm) leo Desemba 31, 2014.  Rais wa...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO

Rais Dk. Jakaya Kikwete na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika maadhimisho ya muungano. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete leo amewaongoza Watanzania katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani