Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI KUTOKA SEHEMU NCHI MBALIMBALI WAZIDI KUMIMINIKA KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MUUNGANO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha National People's Congress cha China na Naibu Spika, Mhe. Chen Changzhi wakimsikiliza Mkalimani wakati wa mazungumzo yao mara baada ya Mhe. Chen kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Chen yupo nchini akimwakilisha Rais wa China kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo tarehe 26 Aprili,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Viongozi mbalimbali waliowasili jana kwa ajili ya sherehe za Uapisho wa Rais Mteule

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (kushoto) akimpokea Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma (anayeshuka kwenye ngazi), Rais Zuma amewasili nchini usiku wa kuamkia leo kwaajili ya kuudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli zinazofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam   Waziri Membe akisalimiana na Rais Zuma Rais Zuma akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe. Radhia Msuya (wa kwanza...

 

11 years ago

Dewji Blog

CRDB yaipiga jeki ubalozi wa Tanzania Marekani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe/ Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano zitakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani...

 

11 years ago

GPL

CRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA SHEREHE YA MUUNGANO‏

 Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Saugata Bandyopadhyay CRDB Deputy Managing Director (operations and customer services)  Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Alex Ngusaru Director of Treasery wa CRDB…

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi waanza kuwasili nchini kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim  akimpokea Waziri Mkuu wa Msumbiji,  Mhe. Dr. Alberto Antonio Vaquina mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Waziri Mkuu huyo ambaye ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Eduardo Coloma ni miongoni mwa viongozi wengi kutoka duaniani kote watakaoshiriki Maadhimisho ya kilele cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

Wananchi wazidi kumiminika Banda la Mambo ya Nje Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Afisa kutoka Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Bi. Asiya Hamdani akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Wananchi waliokuja kutembelea Banda la Wizara lililopo katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Utumishi wa Umma katika Bara la Afrika ni Chachu ya Kuwawezesha Wanawake, Kuongeza Ubunifu na Kuboresha Utoaji Huduma Kwa Umma". Afisa...

 

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA NCHI WATAKIWA KUSHIRIKI, KURIDHIA MABAKUBALIANO YA MKUTANO WA MAENDELEO YA ENDELEVUNCHINI MAREKANI

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiVIONGOZI wa nchi wametakiwa kushiriki katika mkutano wa umoja wa Mataifa wa kujadili malengo 17 ya maendeleo endelevu utaofanyika Septemba 25 mwaka huu nchini Marekani.


Akizungumza na waandishi  habari leo jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Mtandao wa Mabadilliko ya Tabia nchi (CAN), Sixberty Mwanga ,amesema kuwa mkutano huo ni muhimu katika kuweza kutekeleza eneo la mabadiliko ya tabia nchi kutokana na kadri ya siku zinavyoongezeka hali ya ukame inazidi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 50 ya Muungano, kwanini viongozi watibiwe nje ya nchi?

KWA muda mrefu kumekuwa na kilio cha wabunge na wananchi wa kawaida kupinga tabia na utamaduni wa tangu enzi wa kuwapeleka viongozi wetu kwenda kupata matibabu nje ya nchi badala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani