Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA DODOMA UZINDUZI WA WIMBO WA TUULINDE MUUNGANO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA TAMASHA LA UZINDUZI WA WIMBO TUULINDE MUUNGANO DODOMA

Maandalizi ya tamasha la uzinduzi wa wimbo wa Tuulinde Muungano kwenye uwanja wa Jamhuri,Dodoma leo.…

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA WIMBO WA TUULINDE MUUNGANO, RAIS JK AMFAGILIA DIAMOND

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Wimbo wa Tuulinde Muungano uliofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana ambapo pia alimfagilia msanii Diamond kwa juhudi zake. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wasanii baada ya uzinduzi huo.…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Naibu waziri wa Fedha Mhe. Mwingulu Nchemba akizungumza na Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambo wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe.Marck Mwandosya akiwapungia mkono ishara ya kuwasalimia  Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya Kongwa ambao wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge leo  Mhe.Vicky Paschal Kamata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taswira mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A8662

Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe  kuingia kwenye ukumbi wa Bunge  Januari 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8718

Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma.

PG4A8741

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George  Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma.

PG4A8782

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari, Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A8802

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA USIKU HUU

 Meza Kuu ikiongowa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tayari kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi unaoendelea usiku huu kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre, uliopo njia ya Kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Aliekuwa Mgombea Urais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre, uliopo njia ya...

 

10 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali kutoka mikoani


Vijana wakitoka kukata nyasi kwa ajili ya mifugo huko Kaliua mkoani Tabora ikiwa ni sehemu ya biashara yao 
Kijana Ephrahim Maksoni akipita  juu ya reli kwa  baiskeli maeneo ya Nguruka Mkoani KigonaAbiria wakiteremka toka ndani ya Basi la Saratola likitokea Nguruka kwenye kituo kipya cha mabasi kilichopo Masanga Gungu mkoani kigoma
 Wafanya biashara wa chumvi wakiwauzia abiria waliokuwa wakisafiri na basi lililokuwa likitoka Nguruka kuelekea Kigoma  Wakichota maji eneo  katika kituo cha mabasi...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO

Mtoto mkazi wa  Rupingu  akitoka  kuchota maji  katika  kina  kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa  kuchafuka na hivyo maji ya pembeni  kuwa na uchafu mwingi.
Wakazi wa Rupingu  Ludewa  wakitazama abiria  wakishuka katika  boti baada ya  ziwa kuchafuka.
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari  baada ya   ziwa nyasa  kuchafuka 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI ALIPOLIHUTUBIA BUNGE MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akihutubia Bunge la Jamhuri kama ishara ya kuzindua Bunge la 11.Kabla ya Rais Dkt. Magufuli kuzindua Bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju aliomba Bunge likubali kutenguliwa kwa kanuni za Bunge ili kuruhusu wageni kuingia ndani ya Bunge hilo.Wabunge walionesha kuridhishwa na hotuba ya Mhe. Rais Makufuli, wakipiga meza kuunga mkono hotuba hiyo.Mhe. Rais Dkt. Magufuli (wa pili kushoto) akiwa na Marais Wastaafu Dkt....

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali toka Bunge maalum la katiba mjini dodoma leo

Mwenyekiti wa kanuni za bunge maalum Mhe. Pandu Ameir kificho akiwasilisha mapendekezo ya kubadili kanuni leo asubuhi Makamu M/kiti Mhe.Samia Suluhu akiendesha kikao cha  bunge maalum leo baada ya siku nne za vikao vya kamati kumi na mbili zilizo undwa kufanya vikao vyao bila kumaliza kujadili kifungu cha kwanza na kifungu cha sita cha rasimu ya katiba mpya.
Bunge limeahirishwa hadi alhamishi wiki hii kutoa fursa kwa kamati kuendelea na vikao.  Wabunge wakijadili mabadiliko ya kanuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani