Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA WIMBO WA TUULINDE MUUNGANO, RAIS JK AMFAGILIA DIAMOND

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Wimbo wa Tuulinde Muungano uliofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana ambapo pia alimfagilia msanii Diamond kwa juhudi zake. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wasanii baada ya uzinduzi huo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA TAMASHA LA UZINDUZI WA WIMBO TUULINDE MUUNGANO DODOMA

Maandalizi ya tamasha la uzinduzi wa wimbo wa Tuulinde Muungano kwenye uwanja wa Jamhuri,Dodoma leo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Heri ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tuuenzi na tuulinde

10430850_10153274519206810_1803084075348700092_n

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 51 iliyopita. Modewjiblog inaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia Happy Muungano Day!

nyerere_with_karume

Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Sheikh Abeid Aman Karume wakibadilishana hati za muungano.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA MFEREJI MPYA WA SUEZ

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Misri, Balozi Mohammed Hamza, wakati wakitoka kwenye Boti baada ya kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Mfereji mpya wa Suez Canal, kwa ajili ya meli za mizigo. Hafla hiyo ilifanyika jana Agosti 6, 2015 jijini. Picha na OMR
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana ameiwakilisha Tanzania katika uzinduzi wa mfereji mpya wa Suez ...

 

10 years ago

GPL

BABA DIAMOND AMFAGILIA ZARI

Kukubali! Baba mzazi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amefunguka kuwa, kwenye listi ya wanawake wote waliowahi kuwa na mwanaye kimalovee, mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndiye mkwe wa ukweli kwake kutokana na kuwa tayari kumletea mjukuu. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah...

 

11 years ago

GPL

MSIGWA AMFAGILIA RAIS KIKWETE

Mbunge  wa Jimbo la  Iringa Mjini, Mh.Peter Msigwa. Mbunge  wa Jimbo la  Iringa Mjini, Mh.Peter Msigwa amefanya mkutano hapo jana katika  viwanja vya Mwembetogwa,  mkoani humo. Mkutano huo ambao ulikuwa wa kufungia mwaka 2013, Msigwa pia aliutumia mkutano huo kwa kuwapongeza baadhi  ya  mawaziri ambao  utendaji kazi wao unaonekana kuwa mzuri, akiwemo   Waziri wa Wizara ya Maji na  Naibu Wake...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AFANYA KAMPENI ZAKE WILAYA YA NACHINGWEA,RUANGWA,MTAMA NA LINDI MJINI,AMFAGILIA DIAMOND

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kweny mkutano wa kampeni uliofanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa shule ya msingi Mpili pili mkoani Lindi,
Katika mkutano huo wa hadhara Dkt.John Pombe Magufuli amesema kuwa Serikali atakayounda baada ya kuchaguliwa na Watanzania Oktoba 25 mwaka huu, itahakikisha inawatumikia huku akiweka wazi kuwa yeye  hakuwa na mchezo kwani dhamira yake ni kutatua shida...

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge wa Chadema amfagilia Rais Magufuli

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Mara, Joyce Sokombi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amempongeza Rais John Magufuli, kwa kasi yake ya kuwawajibisha watu na watumishi wa serikali wanaojinufaisha na mali ya umma.

 

9 years ago

Habarileo

Profesa Jay amfagilia Rais Magufuli

MBUNGE wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’, amempongeza Rais John Magufuli, kwa kusikia kilio cha wasanii na kuunda Wizara ya Habari iliyozingatia masuala ya Utamaduni, Wasanii na Michezo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani