WADAU WAANZA KUWASILI SHEREHE YA FUNGA MWAKA DMV SASA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 HAWATALIPA KIINGILIO
MWANACHAMA HAI KUPATA VINYWAJI 2 BURE
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiwa na Asha Nyang'anyi wakimpa kampani mgeni wao Mhe. Kadari Singo mwakilishi wa Diaspora Bubge la katiba atayezungumuza na Watanzania leo kuhusiana na Bunge hilo na yeye pekee ndieye atakayekuwa na kipindi cha maswali na majibu katika kuhitimisha sherehe ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2015 itakayofanyikia ukumbi wa Oxford uliopo Lanham kuanzia saa 1 usiku (7pm) leo Desemba 31, 2014. Rais wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboFUNGA MWAKA YA JUMUIYA DMV YAFANA
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Funga mwaka ya Jumuiya ya DMV yafana
![IMG_0978 - Copy - Copy](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0978-Copy-Copy.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-BFE_pHrSCeY/XplS4gxrsWI/AAAAAAAAyIo/foDoAoe2WMMhSUK6Xnwbo3_PkBQykuyuQCLcBGAsYHQ/s72-c/2-20-768x433.jpg)
KATAVI: UBAKAJI WATOTO WA CHINI YA MWAKA HADI MIAKA MINNE UNAHUSISHWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA
![](https://1.bp.blogspot.com/-BFE_pHrSCeY/XplS4gxrsWI/AAAAAAAAyIo/foDoAoe2WMMhSUK6Xnwbo3_PkBQykuyuQCLcBGAsYHQ/s400/2-20-768x433.jpg)
Akizungumzia matukio hayo Afande Clara Ndamukyana wa kitengo cha Dawati la Jinsia mkoa wa Katavi amesema hali hiyo inasababishwa na waganga wa jadi wanaowadanganya wateja wao
“Baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa wanasema waganga waliwaeleza kuwa wakipata mabinti ambao...
11 years ago
MichuziViongozi waanza kuwasili nchini kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
10 years ago
MichuziSHEREHE YA FUNGA MWAKA KWA WAFANYAKAZI WA AZANIA BANK YAFANA JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Azania Bw. Rukwaro Senkoro akizungumza na vyombo vya habari kwenye maadhimisho ya kufunga mwaka Benki ya Azania.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
9 years ago
MichuziZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI
11 years ago
GPLSHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA DMV
11 years ago
MichuziHALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana DMV