Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA DMV

Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Abbas Missana akitoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania DMV na marafiki zao kwa niaba ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.
Wanajumuiya wanaojitoa katika majukumu mbalimbali ya Jumuiya wakipatiwa vyeti.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR

Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa hotuba fupi kwa Maofisa wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani) katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. sherehe hiyo imefanyika Januari 9, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza, Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa neno fupi kabla ya kumkaribisha rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(wa tatu...

 

11 years ago

GPL

PROIN GROUP OF COMPANIES YAFANYA SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA 2014

  Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Group of Companies Bw Johson Lukaza akiwakaribisha wafanyakazi wa makampuni yaliyo chini ya Proin Group of Companies pamoja na wageni waalikwa katika sherehe ya kuukaribisha mwaka 2014 iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Jengo la Kampuni hiyo la Tranic Plaza. Mshereheshaji wa Sherehe hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere akiongea na wageni waalikwa pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe mgeni rasmi kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka Mpya waKichina

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.) akipokelewa kwa furaha na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Dkt. Lu Youqing alipowasili katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina. Waziri Membe amemwakilisha Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwenye hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhe. Membe pamoja na Balozi Lu Youqing wakiimba wimbo wa Taifa katika Hafla ya kuukaribisha mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WAANZA KUWASILI SHEREHE YA FUNGA MWAKA DMV SASA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 HAWATALIPA KIINGILIO

MWANACHAMA HAI KUPATA VINYWAJI  2 BURE
 Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiwa na Asha Nyang'anyi wakimpa kampani mgeni wao Mhe. Kadari Singo mwakilishi wa Diaspora Bubge la katiba atayezungumuza na Watanzania leo kuhusiana na Bunge hilo na yeye pekee ndieye atakayekuwa na kipindi cha maswali na majibu katika kuhitimisha sherehe ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2015 itakayofanyikia ukumbi wa Oxford uliopo Lanham kuanzia saa 1 usiku (7pm) leo Desemba 31, 2014.  Rais wa...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani