Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa Umma waanza kubanwa

Viongozi wa Serikali waliobainika kuhusika katika matumizi mabaya ya madaraka na kutokutoa tamko la rasilimali na madeni, wameanza kuitwa mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Na. Ally Mataula na Rocky Setembo.
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI YANGA WAANZA KUJIUZULU


Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Yanga Shija Richard, Salum Rupia na Rogers Gumbo wamejiuzulu nafasi zao leo   ndani ya klabu hiyo.

Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Moja ya wadhamini wa Klabu hiyo kujiondoa kwa madai ya kupangiwa baadhi ya vitu na wajumbe wanne wa kamati ya utendaji.

Sakata hilo liliwafanya wanachama na viongozi wa matawi kumtaka Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dkt Mshindo Msolla kuwachukulia hatua kali wajumbe hao.

Katika taarifa wamesema, "Nimeamua kwa hiari yangu...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Viongozi wa cuf waanza kusekwa

Bukoba. Jeshi la Polisi limewakamata watu 16 akiwamo Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Bukoba kwa madai ya kuhusika na vitendo vya uchomaji wa makanisa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bukoba. Watu hao, wakiwamo viongozi na […]

The post Viongozi wa cuf waanza kusekwa appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wapya waanza kubebeshwa majukumu

MTANDAO wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (Mjumita), umeomba viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kuwa na dhamira ya kweli ya kukabili na kuhimili mabadiliko ya tabia nchi.

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi waanza kuwasili nchini kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim  akimpokea Waziri Mkuu wa Msumbiji,  Mhe. Dr. Alberto Antonio Vaquina mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Waziri Mkuu huyo ambaye ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Eduardo Coloma ni miongoni mwa viongozi wengi kutoka duaniani kote watakaoshiriki Maadhimisho ya kilele cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi watakaofuja fedha za umma kukiona

Serikali wilayani Siha imesema haitamvumilia kiongozi atakayebainika kufuja fedha zilizotengwa kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo vijijini.

 

11 years ago

Mwananchi

Maadili viongozi wa umma yazidi kumomonyoka

Wakati uchaguzi Mkuu wa Rais na Bunge ukijongea kwa kasi, ongezeko la mmomonyoko wa maadili kwa watumishi wa umma, umetajwa kuwa tishio kwa maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii.

 

10 years ago

Michuzi

MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 10,000 ZA MAKAZI YA WATUMISHI WA SERIKALI NA WA UMMA WAANZA KATIKA MAENEO MBALI MBALI NCHINI

Mhandisi Edwin Nnunduma toka wakala wa amajengo Tanzania (TBA)akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba mbili zinajengwa katika kila mkoa kwa ajili ya makazi ya majaji wakati wa ziara ya waandishi hao iliyolenga kujionea hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo. Moja ya jengo la kisasa lenye gorofa 4 lililopo Mbezi beach Dar es salam litakalopangishwa kwa watumishi wa Umma,jengo hilo liko katika hatua za mwisho kabla kuanza kupangishwa ili...

 

10 years ago

KwanzaJamii

MKAPA: MMOMONYOKO WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA UNATISHA

Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, amesema tatizo la mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma ni tatizo ambalo Tanzania inakabiliana nalo hivi sasa. Kadhalika, amesema licha ya serikali kufanikiwa katika kuhakikisha maadili nchini yanazingatiwa, bado lipo tatizo ambalo limeonekana kutopewa uzito unaostahili. Alisema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akifungua warsha ya kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria mpya ya kudhibiti mgongano wa maslahi miongoni mwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani