Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sherehe zitufunze kuwajibika

KWA vifijo, nderemo na mbwewe za aina yake ambazo hazijawahi kuonekana Visiwani, hivi karibuni watu wa Zanzibar waliadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi yaliyofanyika Januari 12, 1964. Waliotayarisha wanafaa kupongezwa kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wajenge utamaduni wa kuwajibika

TANZANIA imepitia mapito mbalimbali tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni mwaka 1961. Hadi sasa nchi yetu imepitia awamu nne za uongozi, ya kwanza ikiwa ya Baba wa Taifa, Mwalimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Nchimbi aeleza sababu za kuwajibika

>Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi amesema yeye pamoja na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari waliokuwa wakitekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

11 years ago

Habarileo

Huu ni mfano mzuri wa kuwajibika

USIKU wa Ijumaa Desemba 20, Watanzania walishuhudia kutenguliwa kwa uteuzi wa mawaziri wanne baada ya Rais Jakaya Kikwete kukubaliana na kilio cha wabunge cha kumtaka awawajibishe mawaziri hao kutokana na makovu mabaya yaliyotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

10 years ago

Mtanzania

Ghasia: Nipo tayari kuwajibika

Hawa Ghasia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM,
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema kwamba yuko tayari kuwajibika iwapo atabainika amevuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchini.
Waziri Ghasia aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu taarifa ya awali ya upigaji kura katika Serikali za Mitaa.
“Nitakuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Watumishi Wizara ya Habari wakumbushwa kuwajibika

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel amewakumbusha watumishi wa wizara hiyo na taasisi zake wajibu wao wa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na tija na kamwe wasitumie maeneo hayo kama vichaka vya kujificha.

 

9 years ago

Dewji Blog

Dunia yahimizwa kuwajibika kwa ajili ya amani

IMG_5771

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kushiriki katika kilele cha maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. ( Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

JUMUIYA ya Kimataifa imetakiwa kuwajibika kuhakikisha kwamba wanaweza kuwepo na amani na usalama kwa kuwa hilo ndilo tatizo kubwa duniani.

Hayo alisema Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Ni wajibu kuwajibika pasi na kutukanika

Mtu akikwambia kuwa una akili za kitoto, nenda kamshtaki. Sina uhakika kama kuna kifungu cha sheria kinachohalalisha mashtaka ya aina hiyo, ama nianze maombi ya kulipenyeza hilo ndani ya Bunge Maalumu la Katiba. Lakini mtu mzima kuambiwa ana akili za kitoto si jambo dogo.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA VIONGOZI KUWAJIBIKA KABLA YA KUWAJIBISHWA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini kwenye uwanja wa Ilulu wilaya ya Lindi mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini ambapo aliwaambia CCM inasimamia uwajibikaji na kama mtu amekosea awajibike na akishindwa atawajibishwa mapema. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lindi mjini ambapo aliwaambia wananchi hao CCM ni chama pekee chenye mfumo ulioanzia chini hivyo watu waache unyonge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani