Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU ASISITIZA UMOJA KWA MAJESHI YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na wachezaji wa timu ya mpira wa Miguu ya Jeshi la Uganda katika kilele cha michuano ya majeshi ya Nchi za Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar August 29, 2014.. Katika mechi ya kufunga mashindahayo Uganda na Tanzania zilitoka sare ya 1-1. Wapili kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Kombani asisitiza umoja kwa watumishi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina KombaniWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amewataka watumishi wa umma kuwa na ushirikiano ili kuweza kutimiza wajibu wao kikamilifu kwani migogoro na migongano ndani ya taasisi inazorotesha utendaji kazi wa kila siku.

 

11 years ago

Mwananchi

Kushuka kwa elimu Afrika Mashariki, dawa ni umoja

Tukubaliane kwanza kwamba, wazazi wote Afrika Mashariki tungependakuwarithisha watoto na wajukuu zetu elimu na nchi bora zaidi kuliko tulizo nazo hivi sasa .

 

9 years ago

Vijimambo

WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI WA MASHINDANO YA 8 YA MAJESHI YA AFRIKA MASHARIKI.

Mkuu wa Bregedi ya Nyuki ambae ni Makamo Mwenyekiti wa michezo ya Majeshi Bregedia Jenerali Sharif Sheikh Othman akizungumza na waandishi wa habari kuhusu michezo ya nane ya Majeshi ya Jumuia ya Afrika Mashariki. Mkuta huo umefanyika huko Bregedi ya Nyuki Migombani Zanzibar.Waandishi wa Habari kutoka vyombo tofauti wakimsikiliza Bregedia Jenerali Sharif Sheikh Othman (hayupo pichani) katika Mkutano wake na wandishi leo. Mkurugenzi wa ufundi wa mashindano hayo upande (JWTZ) Luteni Kanali...

 

9 years ago

Mwananchi

Papa Wemba asisitiza upendo Afrika Mashariki

Mwanamuziki kutoka DR Kongo mwenye makazi yake nchini Ufaransa, Papa Wemba amesema upendo ni kitendo kinachopaswa kuonyeshwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki ili kukuza maendeleo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AMWAKILISHA RAIS KIKIWETE KWENYE MKUTANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI -NAIROBI

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akishiriki katika Mkutano wa tano wa wa Nchi za Jumui ya Afrika Mashariki wa tano wa ushirikiano wa miradi ya maendeleo ya ukanda wa kaskzin (5th Summit of the Northern Corridor Intergration Projects)Uliofanyika kwenye hoteli ya Safari Park mjini Nairobi Mai 2, 2014.Viongozi waliohudhria mkutano huo ni Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto, Makamu wa Rais wa Burundi, Rais wa Rwanda Paul Kagame, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais wa Uganda Yoweri...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi Afrika Mashariki wajenge umoja’

Viongozi wa kisiasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wametakiwa kuacha vigugumizi katika masuala ya utangamano wa jumuiya hiyo, kwani wananchi ndiyo wanahitaji ushirikiano kwa manufaa yao ya kiuchumi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ukweli kuhusu umoja wa fedha Jumuiya ya Afrika Mashariki

 OKTOBA 20 hadi 24 mwaka  huu, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliandaa semina  kwa waandishi wa habari, mjini Bagamoyo  kujifunza mambo mbalimbali. Miongoni mwa mada zilizotolewa ni ukweli kuhusu umoja wa fedha katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani