Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Kombani asisitiza umoja kwa watumishi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina KombaniWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amewataka watumishi wa umma kuwa na ushirikiano ili kuweza kutimiza wajibu wao kikamilifu kwani migogoro na migongano ndani ya taasisi inazorotesha utendaji kazi wa kila siku.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ASISITIZA UMOJA KWA MAJESHI YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na wachezaji wa timu ya mpira wa Miguu ya Jeshi la Uganda katika kilele cha michuano ya majeshi ya Nchi za Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar August 29, 2014.. Katika mechi ya kufunga mashindahayo Uganda na Tanzania zilitoka sare ya 1-1. Wapili kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA UTUMISHI YAKABIDHI VIKOMBE VYA SHIMIWI KWA WAZIRI MH.KOMBANI

Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) (katikati) kuzungumza na watumishi katika hafla fupi ya kuzipongeza timu za Utumishi zilizoshinda kwa kishindo katika Michezo ya SHIMIWI 2014.Kulia ni Mwenyekiti wa Michezo Utumishi Bw.Lumuli Mtaki.Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli kwa wanaume kutoka Utumishi Bw.Hassan Ligoneko akimkabidhi kombe Waziri wa Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) wakati wa hafla fupi ya kuzipongeza...

 

9 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM MUDA HUU, WATUMISHI WA OFISI YAKE WAMLILIA

Pumzika kwa Amani mpendwa wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (pichani).

Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na watumishi wote wa Ofisi ya Rais-Utumishi wataendelea kukukumbuka daima kwa busara zako na uongozi wako mzuri.-------------------------------------------------------------------Wakati huo huo mwili wa Marehemu Celina O. Kombani umewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa kimatifa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Maghembe asisitiza umoja, amani Mwanga

WANANCHI wa Jimbo la Mwanga lililopo mkoani Kilimanjaro wametakiwa kujenga mshikamano, umoja na upendo miongoni mwao, kwani kwa kufanya hivyo wataweza kujiletea maendeleo. Wito huo ulitolewa na Mbunge wa jimbo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KABUDI: WATUMISHI FANYENI KAZI KWA BIDII NA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na watumishi wa wizara wakati wa kikao kilichofanyika jijini Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akiongea na watumishi wa wizara wakati wa kikao kilichofanyika jijini Dodoma



Sehemu ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia kikao kilichofanyika jijini...

 

9 years ago

Habarileo

Waziri Kombani afariki dunia

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi), Celina Kombani amefariki dunia jana akiwa nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.

 

9 years ago

GPL

MWILI WA WAZIRI KOMBANI WAWASILI DAR

Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya CCM na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani umewasili muda huu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. Mwili...

 

9 years ago

Mtanzania

Waziri Celina Kombani afariki dunia

kombani masikini

NA KULWA KAREDIA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani amefariki dunia.

Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila aliliambia MTANZANIA jana usiku kuwa Waziri Kombani alifikwa na mauti katika Hospitali ya Apollo nchini India ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu karibu wiki mbili.

“Ni kweli Waziri Kombani amefariki dunia leo jioni (jana), kwa saa za kwetu..alikuwa India kwa matibabu karibu wiki mbili hivi.

“Mimi kama kiongozi wa Bunge naweza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani