Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KLABU YA MICHEZO YA UTUMISHI YAKABIDHI VIKOMBE VYA SHIMIWI KWA WAZIRI MH.KOMBANI

Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) (katikati) kuzungumza na watumishi katika hafla fupi ya kuzipongeza timu za Utumishi zilizoshinda kwa kishindo katika Michezo ya SHIMIWI 2014.Kulia ni Mwenyekiti wa Michezo Utumishi Bw.Lumuli Mtaki.Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli kwa wanaume kutoka Utumishi Bw.Hassan Ligoneko akimkabidhi kombe Waziri wa Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) wakati wa hafla fupi ya kuzipongeza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA GST LEO YAKABIDHI KOMBE BAADA YA SHIMIWI KUMALIZIKA

Klabu ya michezo ya Wakala wa Jiolojia Tanzania, yafanya vizuri katika mashindano ya Shirikisho la michezo ya Wizara , Idara na taasisi za serikali (SHIMIWI) yaliyofanyika mkoani Morogoro kwa mwaka 2014.
Katika mashindano hayo klabu ya GST iliweza kupeleka wanamichezo katika mchezo wa mpira wa pete , kuvuta kamba , riadha , mbio za baiskeli , draft , dasti na mchezo wa bao , katika michezo hiyo GST imeweza kupata medali mbili za shaba kutoka mchezo wa mbio za mita 100 , kombe moja kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

 Rais mstaafu Alhaj Ali Hasan Mwinyi akimkabidhi kikombe cha ushindi wa ubunifu katika maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma, mwakilishi wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa  bima ya afya,Ali Othman katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Picha ya pamoja wakiwa na vikombe vya ushiindi vya ubunifu katika maonesho ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI


Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

CRDB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VIONGOZI WA DINI

Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB, imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Kamati ya Amani na ushirikiano ikiwa ni maandalizi ya mechi baina ya viongozi wa madhehebu ya dini.
Mtanange wa viongozi hao unatarajiwa kufanyika Oktoba 12, mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuadhimisha siku ya amani duniani.
Akizungumza wakati wa kukabidhi jezi na hundi ya sh. milioni tano  ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya wateja, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU‏ KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom.  kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430 Milioni. Kutoka kushoto:… ...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na klabu ya Genk ya Ubelgiji

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye(kushoto) akiongea na Mchezaji wa Timu ya TP Mazembe Mbwana Samatta(kulia) leo jijini Dar es salaam.Mbwana amemtembelea waziri Nape ofisini kwake na kuomba baraka za wizara katika kinyanganyiro cha kugombea uchezaji bora wa afrika anayechezea ligi za ndani na pia kumpa habari njema za yeye kutegemea kujiunga na timu ya Ubelgiji ya Genk. Mchezaji wa TP Mazembe Mbwana Samatta(wa kwanza kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani